Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Na walio walinzi wa Usiku je wao wasemeje?
Aaah lakini morning glory achana nayo. Tena sio ya alfajiri ile ya asubuh kabisa ushavaa suti yako na tai halafu anavivua vyote unapiga cha fasta hadi unachelewa kazini
Mnatia watu nyege tuu saa hz sio vizuri ivoo
Mara nyingi tupandapo vitandani mwetu baada ya mishemishe za siku nzima huwa tumechoka kwahiyo hata ile makitu hatuifaidi kivile, lakini ukiupa mwili muda wa kupumzika na ukaidamkia dayb na kile kibaridi chake ladha na utamu wake huongezeka mara dufu
Japo kuna wakati pia cha kulalia nacho kina hamu zake hasa kama siku hiyo huna stress na umemkuta mwenzi wako keshajiandaa
Bora wanyegeke wenye wapenzi wao......ila kwa wale masingle nachelea kusema wengine wataishia kimboka kama sio kwa mahausi gelo na mahausi boi!
Kama wewe ulivyochangiaWeng wanapenda kuchangia mada hizi