Kwani cha usiku na cha alfajiri kipi kitamu?

Kwani cha usiku na cha alfajiri kipi kitamu?

Cha asubuh kina ladha ya aina yake unakuta viungo vya mwili vyote viko sensitive sana
 
Mara nyingi tupandapo vitandani mwetu baada ya mishemishe za siku nzima huwa tumechoka kwahiyo hata ile makitu hatuifaidi kivile, lakini ukiupa mwili muda wa kupumzika na ukaidamkia dayb na kile kibaridi chake ladha na utamu wake huongezeka mara dufu
Japo kuna wakati pia cha kulalia nacho kina hamu zake hasa kama siku hiyo huna stress na umemkuta mwenzi wako keshajiandaa
Huwa ananiambia niweke alarm ya saa 11 ili nimwamshe aende kazini, sasa mimi naweka ya saa 10 na nusu ikiita tu naizima najifanya naenda kukojoa nikirudi najifanya kakaa njiani namsukuma ili asogee nipite akistuka tu kwisha habari😛
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] kuku wako mwenyewe manati ya nini?
 
Back
Top Bottom