Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,906
- 12,349
- Thread starter
- #21
Ya ni kweli wananchi wanashindwa kuamua.. kwa sababu walishagundua kuwa wapinzani wote ni wachumia tumbo ukimtoa hayati mch Mtikila. RIPHakuna cha wazee wa kazi wala nini, kinachoifanya ccm iendelee kutawala ni wananchi wenyewe ila siku zinakuja na wananchi wataamua na hapo ndio itakuwa mwisho wa ccm.
Katiba mpya ni muhimu