Nani mkubwa kati ya Serikali na Chama Tawala?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,639
46,281
Katika mfumo wetu wa utawala tulio nao nchini nani ni mkubwa wa mwenzake kati ya chama tawala na serikali iliyo madarakani?

Nani anatoa kwa mwenzake na nani anapokea maagizo, ilani na miongozo ya jinsi ya kuongoza nchi na kufanya shughuli za maendeleo?

Ni sahihi chama tawala kudai uwajibikaji wa watendaji na watumishi wa serikali kwake?

Katika demokrasia ya Magharibi na nchi nyingi za mfumo vyama vingi vyama huwa havina nguvu tena kwa waliochaguliwa au serikali. Katika utawala wa China Chama kina nguvu juu ya serikali lakini huko ni utawala wa chama kimoja

Je, mfumo tulio nao wa utawala unafanana na kwingine duniani au ni wa kipekee na hivyo tunawesa kusema au kujivuna hii ni model ya utawala ya Kitanzania kwa sababu haipatikani kwingine kokote duniani.
 
Bilashaka chama ndio kinacho waweka hao waliopo serikalini.
Lazima chama kiwapemaelekezo na kufuatilia utekelezaji wa ilani, otherwise wakizingua wanakatwa mikia
 
Katika mfumo wetu wa utawala tulio nao nchini nani ni mkubwa wa mwenzake kati ya chama tawala na serikali iliyo madarakani?

Nani anatoa kwa mwenzake na nani anapokea maagizo, ilani na miongozo ya jinsi ya kuongoza nchi na kufanya shughuli za maendeleo?

Ni sahihi chama tawala kudai uwajibikaji wa watendaji na watumishi wa serikali kwake?

Katika demokrasia ya Magharibi na nchi nyingi za mfumo vyama vingi vyama huwa havina nguvu tena kwa waliochaguliwa au serikali. Katika utawala wa China Chama kina nguvu juu ya serikali lakini huko ni utawala wa chama kimoja

Je mfumo tulio nao wa utawala unafanana na kwingine duniani au ni wa kipekee na hivyo tunawesa kusema au kujivuna hii ni model ya utawala ya Kitanzania kwa sababu haipatikani kwingine kokote duniani.
Ilani ya chama tawala ndiyo inatekelezwa hivyo chama lazima kifuatilie utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi yake

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Katika mfumo wetu wa utawala tulio nao nchini nani ni mkubwa wa mwenzake kati ya chama tawala na serikali iliyo madarakani?

Nani anatoa kwa mwenzake na nani anapokea maagizo, ilani na miongozo ya jinsi ya kuongoza nchi na kufanya shughuli za maendeleo?

Ni sahihi chama tawala kudai uwajibikaji wa watendaji na watumishi wa serikali kwake?

Katika demokrasia ya Magharibi na nchi nyingi za mfumo vyama vingi vyama huwa havina nguvu tena kwa waliochaguliwa au serikali. Katika utawala wa China Chama kina nguvu juu ya serikali lakini huko ni utawala wa chama kimoja

Je mfumo tulio nao wa utawala unafanana na kwingine duniani au ni wa kipekee na hivyo tunawesa kusema au kujivuna hii ni model ya utawala ya Kitanzania kwa sababu haipatikani kwingine kokote duniani.
Sifa mojawapo ya Mfumo wa Vyama Vingi vya siasa ni Kuwa Serikali inatakiwa na nguvu kuliko vyama vilivyopo kwenye nchi husika.
 
Katika mfumo wetu wa utawala tulio nao nchini nani ni mkubwa wa mwenzake kati ya chama tawala na serikali iliyo madarakani?

Nani anatoa kwa mwenzake na nani anapokea maagizo, ilani na miongozo ya jinsi ya kuongoza nchi na kufanya shughuli za maendeleo?

Ni sahihi chama tawala kudai uwajibikaji wa watendaji na watumishi wa serikali kwake?

Katika demokrasia ya Magharibi na nchi nyingi za mfumo vyama vingi vyama huwa havina nguvu tena kwa waliochaguliwa au serikali. Katika utawala wa China Chama kina nguvu juu ya serikali lakini huko ni utawala wa chama kimoja

Je mfumo tulio nao wa utawala unafanana na kwingine duniani au ni wa kipekee na hivyo tunawesa kusema au kujivuna hii ni model ya utawala ya Kitanzania kwa sababu haipatikani kwingine kokote duniani.
According to Nyerere

1698923506209.png
 
Muulize mwenyekiti wako wa ccm, huko tumisha vuka , kwa sasa tunaangalia nchi tu, why poteza mda kwa maswali ambayo hata mtu ambae hajaenda shule anaweza jibu , pumbavu
 
Chama coz serikali iliyopo inafuata ilani ya Chama husika ...
Hata kama ni chama huwezi niambie mburukenge yeyote kwenye chama ana mamlaka ya kumpa PM maagizo na kumpa muda wa utekelezaji. Hata Katibu mkuu wa chama huwa ana agiza lakini kwa kuangalia ana mwagiza nani.
Na huyo ndie Mtendaji mkuu.
Hawa wengine wote wana takiwa wapokee maagizo toka kwa katibu mkuu kwenda kutekeleza na sio kutoa amri.
Tuwe na heshima kwa viongozi wetu wa kiserikali.!!!!
 
Chama ni kikubwa kuliko serikali, ndio maana chama kinachoshinda ndio kinaunda serikali. Hivi mmesahau kipindi kile kina Kinana na Nape wakati mmoja katibu mkuu na mwingine katibu mwenezi waliwaita baadhi ya mawaziri ni mzigo.
 
Back
Top Bottom