Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,412
- 36,567
Hapo ujue mchungaji keshamla tayar na usikute kamuambaruty kabisa
Kick tu anataka kufahamika mapemaHapo ujue mchungaji keshamla tayar na usikute kamuambaruty kabisa
Anataka umaarufu wa harakaLengo la mchungaji ni kumuombea.
Huyo hatofautiani sana na nabii Tito...!
Huyo hatofautiani sana na nabii Tito...!
ukiona manyoya............Namfahamu sana ana mambo ya ajabu kuna video clip inamuonyesha akisifu vyoo vya kanisa na namna waumini wanavyojisaidia haja kubwa kwa starehe
Iweke umu mkuu.Namfahamu sana ana mambo ya ajabu kuna video clip inamuonyesha akisifu vyoo vya kanisa na namna waumini wanavyojisaidia haja kubwa kwa starehe