Mwalimu Mwakasege: Hizi ni Siku za Mwisho msije kusema hatukuwaambia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,046
Ni katika siku ya mwisho ya seminar kwenye Viwanja vya Gangilonga mkoani Iringa Somo Kuu likiwa Kesheni maana Hamjui Siku wala Saa

Mwalimu Mwakasege amesema tunaishi katika siku za mwisho za Ulimwengu Huu

Dalili zote zinaonyesha Unyakuo wa Kanisa u karibu, Yesu Kristo yu karibu kurudi na Ule mwisho wa Ulimwengu Huu umefika

Source: Upendo TV

Mlale Unono 😀
 
Eschatology ni somo gumu sana. Mwakasege amechemka, hajalielewa somo hili.

Hata Kibwetere wa Uganda alilivamia somo hili akawachoma moto waumini wake.

Mwakasege ajikite kwenye kuwaongoza watu kutafuta ufalme wa mbingu na siyo kuwaaminisha juu ya siku za mwisho.

Hakuna ajuaye siku wala saa asema Bwana. Itakuwa Mwakasege?
 
kama unaona hizo dalili pekeyako jiandae, aga ndugu zako, weka vitu sawa na uende taratibu kwa amani.

wacha kutisha kutisha watu....
 
Tangu tumesikia kuhusu mwisho wa dunia, aisee ni miaka zaidi ya 100 sasa
Sio mia tu...yesu mwenyewe alisema Kuna watu pale waliosimama kumsikiliza hawatakufa mpaka arudi ila walikufa... alisema kizazi kile hakitapita mpaka arudi kilipita...😂😂ila visingizio Sasa vya wakristo kuhusu hili utatamani ucheke...kuamini dini lazma ujitoee akili kidogo
 
Utapeli utapeli tuu 😂
 
Hizo
Ni katika siku ya mwisho ya seminar kwenye Viwanja vya Gangilonga mkoani Iringa Somo Kuu likiwa Kesheni maana Hamjui Siku wala Saa

Mwalimu Mwakasege amesema tunaishi katika siku za mwisho za Ulimwengu Huu

Dalili zote zinaonyesha Unyakuo wa Kanisa u karibu, Yesu Kristo yu karibu kurudi na Ule mwisho wa Ulimwengu Huu umefika

Source: Upendo TV

Mlale Unono 😀
Hizo fujo za mashariki ya kati huwa zinawavuruga sana physiology ya watumishi hawa..
 
Eschatology ni somo gumu sana. Mwakasege amechemka, hajalielewa somo hili.

Hata Kibwetere wa Uganda alilivamia somo hili akawachoma moto waumini wake.

Mwakasege ajikite kwenye kuwaongoza watu kutafuta ufalme wa mbingu na siyo kuwaaminisha juu ya siku za mwisho.

Hakuna ajuaye siku wala saa asema Bwana. Itakuwa Mwakasege?
Mwl Mwakasege hajataja tarehe mwezi wala mwaka wa siku za mwisho, hivyo hajakiuka maandiko yasemayo "hakuna ajuaye.... "

Ni vyema ukijiandaa ndugu pengine ni kesho tu.
 
Hivi kunatofauti kati ya unyakuo na kuja kwa Yesu mara ya pili ambayo anasema kila jicho litamuona?

Hawa walimu wa siku za mwisho ni wema ila nivizuri tuhakiki neno kwa neno.
Kwenye unyakuo sio kila jicho litamuona ni wale watakaokuwa tayari kwa unyakuo kwenye hiyo dakika Yesu atakayotokea mawinguni ambapo parapanda italia na si kila mtu ataisikia. Baada ya unyakuo baada ya miaka 7 ya dhiki kuu ndipo atarudi na hapo ndo kila jicho litamuona. Kumbuka kwenye unyakuo kama mtu sio mtakatifu dakik hiyo anayotokea mawinguni ambapo hatokanyaga kwenye ardhi ya hawezi muona Yesu kamwe. So Mwl Mwakasege hajakosea rudi tena kuchunguza maandiko.
 
Back
Top Bottom