Kwakweli ni siku za mwisho

Mawazo mgando hayo..! Wema kufanya Ibada ya Kitubio kwa Mungu, Jamii inashangaa vp Samata alieenda kuhiji Macca Jamii ilimpongeza Je, Samata hana dhambi mbona hamshangai? " Kizuri kisifiwe, Kibaya kikemewe." Wema kama ndio muda wako sahihi wa kufanya kitubio fanya, mbele za Mungu utasimama pekeako.
:D:D:D :D:D Naww unakaribishwa
 
Mawazo mgando hayo..! Wema kufanya Ibada ya Kitubio kwa Mungu, Jamii inashangaa vp Samata alieenda kuhiji Macca Jamii ilimpongeza Je, Samata hana dhambi mbona hamshangai? " Kizuri kisifiwe, Kibaya kikemewe." Wema kama ndio muda wako sahihi wa kufanya kitubio fanya, mbele za Mungu utasimama pekeako.
Mfano wako wala hauendani, Wema ni Muislamu, yeye na kitubio wapi na wapi labda uniambie ameamua kuokoka, Samatta ni Muislamu hivyo kwenda Macca siyo stori...
 
Nashukuru umenielewa nilivyotaka unielewe.! Waislamu mnatusumbua hamuoni aibu kila Skendo chafu ni yenu? Mnafundishana nini Misikitini, ndo Maana Wema ameamua kumgeukia Mungu Kwa kitubio cha kweli kanisani?
 
Nadhani akili yako haiko sawasawa, sijui ndo vyuma vimezidi kukaza? Nakushauri tafuta njia sahihi ya kutatua matatizo yako badala ya kuanza kushambulia watu usiowafahamu mtandaoni...
 
Usipaniki Broo...! Mi nimerusha jiwe gizani kama limekupata pole, nikushauri tu usiingilie wala kukebehi uhuru wa kuabudu wa mtu.
 
Usirushe jiwe kwa ku-quote comment yangu, sijawahi kukebehi dini ya mtu kama ambavyo wewe unafanya kwa kushambulia uhuru wa watu wengine (Waislamu) wa kuabudu ukileta masuala ya Samatta ambaye wala hahusiani na mada iliyopo hapa.

Nilichojaribu ni kukuelewesha kuhusu imani ya Wema lakini kwa kuwa wewe ni mdini ukakimbilia kuwakashifu Waislamu.. Please don’t quote my statement for meaningless things, you don't even know me...
 
Usipaniki Broo...! Mi nimerusha jiwe gizani kama limekupata pole, nikushauri tu usiingilie wala kukebehi uhuru wa kuabudu wa mtu.
Halafu kwa taarifa yako hakuna mtu yeyote duniani (si Tanzania tu) mwenye cheo cha mchungaji wa mitume, manabii na maaskofu (zaidi ya Yesu Kristo mwenyewe), huyo jamaa yako sina shaka atakuwa ndio wale waliotajwa kwenye Biblia Takatifu, Marko 13:22 “Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo nao watafanya ishara na miujiza ili kuwadanganya hata wale waliochaguliwa na Mungu, kama ikiwezekana.” na Mathayo 24:5 “Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.”

Kwanza maombi gani ya kufanyiana usiku kama si ushetani?...
 
Mawazo mgando hayo..! Wema kufanya Ibada ya Kitubio kwa Mungu, Jamii inashangaa vp Samata alieenda kuhiji Macca Jamii ilimpongeza Je, Samata hana dhambi mbona hamshangai? " Kizuri kisifiwe, Kibaya kikemewe." Wema kama ndio muda wako sahihi wa kufanya kitubio fanya, mbele za Mungu utasimama pekeako.
kwani wema dini gani mkuu?
 
Nashukuru umenielewa nilivyotaka unielewe.! Waislamu mnatusumbua hamuoni aibu kila Skendo chafu ni yenu? Mnafundishana nini Misikitini, ndo Maana Wema ameamua kumgeukia Mungu Kwa kitubio cha kweli kanisani?
Mkuu cha chuga hakikufai acha kabisa
 
Mchungaji yuko sahihi
Kazi yake ni kufikisha huduma ya injili kwa kila mwenye uhitaji, ni sawa na mwanasheria alivyo na kazi ya kutoa msaada wa kisheria bila kujali umeua,umebaka, umelawiti etc vyovyote itakavyokua bado una haki ya kutetewa na mwanasheria
 
Back
Top Bottom