Kwako sky eclat

Kwako sky eclat

Tusiwalaumu maana memba wote wa JF kama akina manengelo wanakuwa wametendwa ajabu! Hivyo hata yeye anaangalia risk factor na kwa mantiki hiyo lazima awe na spea taili kwa usalama wake. Taratibu tutafika. Wewe ulidhani Madam B angetulia? Unamuona Nifah ana makeke siku hizi. Ukiona mwanamke hapa JF na makeke sana jua hajapata wa kumtuliza akipata yupo tuli kama miss chagga
Unaweza kuwa na hoja, mtu akiwa na stress anatafuta wapi apunguze machungu yake. Ni rahisi kufarakana na anajisikia furaha kuona wenzake wanapitia magumu anayopitia.
 
Kwahiyo unamtaka binti yake yoyote yule kabla hata ya kumuona...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom