Kwako mama Samia: Tuko nyuma yako, ila...

Kwako mama Samia: Tuko nyuma yako, ila...

Na amwambie awamu yake ndio imesababisha mpasuko mkubwa wa umoja na mshikamano wetu kutokana na chuki dhidi ya wapinzani
Mabibi na mabwana ushauri wa bure kwa mama yetu mpendwa Mama Samia.

Salamu tokea kwa mh. rais popote alipo tumezipokea. Muhimu naye akatufikishia zetu kwake mzee baba.

Hapa tulipo misingi ya haki imepotea. Chuki imetamalaki, maisha yamejaa ukakasi, uhuru wa watu kusema na hata kujifanyia wanayotaka haupo tena. Nk, nk.

Usidanganywe na wanufaika wa ukandamizwaji uliopo.

Muhimu kufahamu, kama Watanzania hatukuwahi kufikia viwango hivi vya mifarakano. Rejea awamu zote zilizopita. Leo hii tunaombeana kufa?

Jitihada zozote za kuyarekebisha hayo kupitia kwa mtu yeyote zitaungwa mkono vilivyo na tutashikamana kweri kweri kama taifa.

Mustakabala wa maisha ya watu hauwezi kubezwa dhidi ya maendeleo ya vitu.

Tafadhali tufikishie haya kwa mzee baba kokote aliko kama majibu ya salamu zake.

Tutafarijika mno kusikia japo tu kama salamu zetu zimefika, kwani mjumbe hauwawi.

Ninawasilisha.
 
Kwahiyo kwa sasa rais anaonana na VP na PM tu?
Tutafarijika mno kusikia japo tu kama salamu zetu zimefika, kwani mjumbe hauwawi.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Hili jamaa linajipendekeza sana.Achana naye!

Hilo jombi? Ni haya hapa:

IMG_20210218_174254_207.jpg


Riko vizuri kweri kweri.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Safari hii mataga mtaona rangi aina zote , oooh mimi Jiwe kwelikweli haya Sasa kati yako na Mungu nani Jiwe ? Malipo Ni hapahapa duniani .
 
Hii aliikataa Kenyatta alipowauliza watu wa Mombasa wakasema tupo nyuma yako akasema hapana semeni tuko bega kwa bega.

Kutokujua kiswahili tu. Kenya hata viongozi wanajua ni vingunge.

Ya kenya ni yao.
 
Tutafarijika mno kusikia japo tu kama salamu zetu zimefika, kwani mjumbe hauwawi.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Mjumbe anauwawa vizuri tu inategemeana na mazingira
 
Mombasa wana mambo yao tofauti, ndomana aliwakatalia.

Kenya 'yajayo' wanaita 'ya mbeleni ' ambayo kwetu siyo kabisa.

Ya Kenya na kwetu wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom