kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Wewe nae muongo bongo kuna cloning labda ya kuku wa kizunguCloning
Wewe nae muongo bongo kuna cloning labda ya kuku wa kizunguCloning
Unasubiri tangazo....?ukipanda chuki lazima uvune chuki.ametesa amepora na kuua watu so itakapotangazwa amefia madarakani kwa nini watu wasifurahi?
vipi na wewe unasubiriUnasubiri tangazo....?
"Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele". (Mithali 11 :10)ukipanda chuki lazima uvune chuki.ametesa amepora na kuua watu so itakapotangazwa amefia madarakani kwa nini watu wasifurahi?
nice..it relates to the current situation"Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele". (Mithali 11 :10)
Tumuombee aliyekuwa OK?Mwamba yupo ok wazee tuendelee kumuombea kwa mapito anayopitia kwa kweli...
Ule ugali na pili pili uelewe nilichoandika ni ngumu sana hilo ni tege hapo inatakiwa ulidadavue...Tumuombee aliyekuwa OK?
basi kwenu pazuri.
Huyo mama hawezi kufanya chochote kwa sababu yeye ni "Figurehead" tu hata sasa hivi anakaimu lakini mamlaka yote iko mikononi mwa usalama wa taifa.
Mnafanya nini nyuma ya mama samia? Acheni huo ujinga.
Haya maneno matakatifu kwa wakati muafaka."Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele". (Mithali 11 :10)
Unamuungaje mkono na upo nyuma yake? Umewahi ona watu wanaungana mikono kwa wengine kukaa nyuma yao.... Acheni Ujinga. Piteni mbele kama yeye...nyie waoga na wanafiq kama mafisi huwa mnatembea nyuma nyuma kwa woga na unafiq.Wewe unataka tufanye nini mbele yake?
Wenu ndiyo ujinga sasa!
Kuwa nyuma ya mtu ni kumwunga mkono. Wewe hutaki tuwaunge mkono viongozi wetu katika agenda zao?
Sembe au ngano?Mafuta yamefika 52.000
Unga 41.000
Unamuungaje mkono na upo nyuma yake? Umewahi ona watu wanaungana mikono kwa wengine kukaa nyuma yao.... Acheni Ujinga. Piteni mbele kama yeye...nyie waoga na wanafiq kama mafisi huwa mnatembea nyuma nyuma kwa woga na unafiq.