Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Hii ya kutaka wote tumuombee kitaalam.imekaajeMwamba yupo ok wazee tuendelee kumuombea kwa mapito anayopitia kwa kweli...
Hii ya kutaka wote tumuombee kitaalam.imekaajeMwamba yupo ok wazee tuendelee kumuombea kwa mapito anayopitia kwa kweli...
Hii ya kutaka wote tumuombee kitaalam.imekaaje
Hawa watu nawaambia sana kuwa kilichopo humu ni tofauti na huko uraiani.Ni nyinyi tuu huku jamii forum kwingine kote hawapendi kusikia habari mbaya kwa rais wao kipenzi jpm
Utakufa mwenyewe.mlizoea vya dezo.acha sindano iwaingie
watu wa humu ndo hao hao wa uraiani.uraiani huko wanaogopa watakamatwa.wapo mawaziri wengi tu wanaccm wengi tu nao wanatamani magufuli afe sema ndo hivyo kinafki.magufuli kazungukwa na wanafki wengi sana.mama Samia mwenyewe atakuwa anatamani jiwe liangukeHawa watu nawaambia sana kuwa kilichopo humu ni tofauti na huko uraiani.
Siwalisema kafa mara yuko Nairobi? Mara India ? Sasa hii WhereIsMagufuli wanaitoa wapi? . Wapuuzi hawa.
Ukifanya kazi kwa bidii haya utayasikia tu, lakini ukiwa na Keyboard daily mmh.Mafuta yamefika 52.000
Unga 41.000
Fanya uchunguzi mkuu.watu wa humu ndo hao hao wa uraiani.uraiani huko wanaogopa watakamatwa.wapo mawaziri wengi tu wanaccm wengi tu nao wanatamani magufuli afe sema ndo hivyo kinafki.magufuli kazungukwa na wanafki wengi sana.mama Samia mwenyewe atakuwa anatamani jiwe lianguke
Wewe mjinga sana, huna shukran pengine ulitumbuliwa au biashara zako za haramu ziligunduka au pengine wewe ni mpinzani wa pinga kila kitu.Ukipanda chuki lazima uvune chuki ametesa amepora na kuua watu so itakapotangazwa amefia madarakani kwa nini watu wasifurahi?
watu wa humu ndo hao hao wa uraiani.uraiani huko wanaogopa watakamatwa.wapo mawaziri wengi tu wanaccm wengi tu nao wanatamani magufuli afe sema ndo hivyo kinafki.magufuli kazungukwa na wanafki wengi sana.mama Samia mwenyewe atakuwa anatamani jiwe lianguke
Usijali Mwamba akiibuka tu,vyote hivyo vitashuka bei,hadi gharama za vifurushi vitashuka bei!! Stay tuned!!Mafuta yamefika 52.000
Unga 41.000
Rahaa si mradi kusoma tu pia habari ziwe za ukweli zikiendana na vithibitisho vyake! Si mradi kusoma tu na kujifariji!!Hizi mada uku zimepoa Ngoja niende japan Na VpN yangu[emoji23]unasoma kitu mpka unatetemeka
Tafsiri yake Sasa ndiyo kasheshe,hadi uwe na jicho la tatu ndiyo utawajua wenye haki ni akina nani!!"Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele". (Mithali 11 :10)
mimi ni mtu ambae sipendi upumbavuWewe mjinga sana, huna shukran pengine ulitumbuliwa au biashara zako za haramu ziligunduka au pengine wewe ni mpinzani wa pinga kila kitu.
Kwani wametangaza?Una maanisha nini mkuu?
[emoji106][emoji106]Mliokaribu na Samia Suluhu Hassan mwambieni asikubali kuzungushwa zungushwa huko na huko... Vinginevyo nae ataanza kukaguliwa na atazimwa kabla ya tarehe 20.03.2021.
Akae kwa kutulia ofisini.
Ajiimarishie ulinzi.
Akumbuke kuwa yeye ni mwanamke, muislamu, mzanzibari, si msukuma...!
Ana maadui wengi sana kwa sasa!
Hata wewe jikoni hujui linalopikwa au kinachoungua au kudoda?