Kwako kuna kura ngapi za Lowassa na UKAWA?

Kwako kuna kura ngapi za Lowassa na UKAWA?

Kwangu kuna kula 30 na zaid za Lowassa.
Wafanyakaz wangu karinu wote 20 ni UKAWA tena mim uwa wananiona mccm. Mama yangu ukawa.wadogo zangu 3wote ukawa mke wangu ukawa kaka yangu ukawa na marafiki zangu wa karibu wapatao watu ni ukawa balaa
 
Kwangu kuna kula 30 na zaid za Lowassa.
Wafanyakaz wangu karinu wote 20 ni UKAWA tena mim uwa wananiona mccm. Mama yangu ukawa.wadogo zangu 3wote ukawa mke wangu ukawa kaka yangu ukawa na marafiki zangu wa karibu wapatao watu ni ukawa balaa

Hao wote uliowataja na wao watajibu wakikutaja
Mwisho wa siku mjumulishaji atadhani kuna kura 900 za ukawa kumbe kiuhalisia ni kura 30 tu.
Jipange na mleta mada mtaingia mtego wa cumulative counting sasa hivi!
 
Mkuu nina kura zisizopungua 50 kijiwen kwangu
 
kwangu sifuri = 0 za lowasa, ila za Magufuli zipo 20


Jamani watanzania hebu kuweni watu wa vitendo zaidi na si maneno mengiiiii!

Mimi hapa kwangu kuna kura NNE safi za lowassa na ukawa! Mimi na wanangu wawili ni tangu mwanzo, kura ya mke wangu ilisumbua sana maaana miaka yote haoni umuhimu wa kupiga kura. Nilimuuzia Sera zote akazipangua.
Mwishoe nikamwambia kuwa sasa atafute pesa za michango ya shule, maana mimi nimechoka kulipa ndiyo maana nimeamua kuwachagua wale wanaotoa elimu bure bila michango.
Wee! mbona aliulizia Siku ya kupiga kura! Sasa ana munkari baraa!
Wewe kwako kuna kura ngapi?
 
Kwangu zipo kura sita mimi ,mke wangu na msichana wa kazi mmoja na wajombazangu watatu.Ni uhakika na vichinjio vyao wote nimevihifadhi mie.
 
Mimi mke wangu wadogo zangu wawili shemeji yangu na wapangaji wa tatu, mungu akituweka hai zipo 8 za LOWASA
 
Mimi kwangu zipo 2 za uwakika mimi na wife ila nina Shaka na ya 3 ya kijana Wangu Wa Dukani kwangu
Vipi nimwiibie kichinjio? Maana hakuna namna nyingine, nimeshamwimbia kumpigia ukawa hataki
Nimwiibie kichinjio?

Muibie tu! huyo atatukosti tena miaka mitano.Hamna namna nyingine manake tumechoka sasa.
 
Kwangu ziko tatu japokuwa mbili za wazazi wangu ziliingia matatani baada ya slaa lakini nimefanya kazi kubwa kuwaelimisha juu ya ulaghai wa CCM kwamba hawapaswi kutoa ahadi wanapaswa kutoa majibu ya kero za wananchi na wanaposhindwa kuzitatua katika ustaarabu wa kawaida wanapaswa watoe sababu lakini hawafanyi hivyo badala yake wanajazia ahadi juu ya ahadi kitu ambacho wamenielewa ila shida nyingine ambayo imenipata tena "LATEST"ni kwamba MUUZA NYUMBA amewatishia vita sasa na kazi tena kuwaelimisha ya kuwa kubadilisha chama katika sanduku la kura hakuna cha vita ni utamaduni tu wa kawaida katika demokrasia na duniani nchi nyingi zimefanya hivyo bila vita project ambayo naendelea nayo hata sasa wanahofu hata ya kupiga kura ila nitahakikisha nashinda mtihani huu mgumu alioniletea MUUZA NYUMBA na amezidisha hasira zangu dhidi ya hilo lichama.
 
Back
Top Bottom