Kwako Kasinde

Weka namba na type ya gari unaloendesha ukiweka na mitaa ya mizunguko yako itakuwa poa zaidi.
 
Weka namba na type ya gari unaloendesha ukiweka na mitaa ya mizunguko yako itakuwa poa zaidi.

Mkuu usihofu kabisa hivo vitu.
Elewa zanzibar ndio jalala la used zote za Dubai.si vizuri kujisifia lengo ni kumueleza yaliyomo moyoni mwangu.
Kwa nini nifiche.
 
Sura ya Nyoka.
Mfungo na kuelezea dukuduku la moyoni ni vitu viwili tofauti.muhimu usitukane na wala usifanye kitu chochote kitakacho kuharibia funga.

Ahsante sana.

Wala sikumaanisha baya mkuu! Nakutakia kheri !
 
Mmmmh pamoja na vurugu na fujo zangu humu wewe ndo umejitosa kuniandikia barua, waswahili wanasema itika with kataa maneno. Nimeitika ndugu sasa huko Zanziberi anahitaji nije kwa mapumziko, wacha nicheki schedule ilivo kazini kwa wiki mbili hizo kisha ntakujuza.
Halafu hujazipata fununu, Kasie ni kibibi nearly anastaafu. My age is 43 kwa 30 wewe ni mdogo wangu, being just friends no prob others ukiingia club na mie utachekwa na vijana wenzio
 

Kwa nini nichekwe my Dear Kasie.nadhani watanionea choyo,being 43 years it doesnt mean you are no longer smart.halafu,kilichonivutia zaidi sio umri, ni swaga na upambanuzi ulio nao.

Ni nadra kupata mtoto wa copy yako,ni kimpata lazima arithi u smart wa mama yake.

Nakuahidi ukija Zanzibar nitakupeleka sehemu nyingi zenye kivutio kwa Watalii,nitakupeleka Ngome Kongwe,Forodhani,Mnemba Island,kwenye soko lilikuwa la Watumwa Mkunazini,bila kusahau usiku ni kwa DJ Bar Bwawani Hotel.

Ahsante sana,
 
Dah jamaa kafunguka ukweli wake na mhusika kaupata kiroho safi tu.Kila la kheri mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…