William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Bin Malecela,
Kwanza Salaam,
Asante kwa maelezo mazuri.........ni vizuri kubaki 'nyumbani'.....but do you really think that CCM will get back to its old former self? Or is it a case of a sinking ship and mice?
William, Matatizo ya wenzetu ni afadhali haya ya kwetu yamepita kiasi. Fikiria umeme unakatika usiku mzima na joto hili la dar na maji ya kuoga hakuna dumu mojaTsh 250 tena maji ya chumvi, hapo kaka mshahara sh 85,000 kwa mwezi? Mchele kilo 1600, Unga 1000 bado matumizi mengine...
hali ni mbaya mbaya sana, niamini mimi bila marekebisho katika uongozi wa nchi hii nakwambia hatufiki 2015, watu wa hali ya chini itafikia hatua watashindwa uvumilivu. na dalili ya tunakokwenda kwa mtazamo wangu ni GIZA kabisa, sioni mwanga kabisa kama hata elimu tunailetea maloloso (utani) yaani tunajiua wenyewe.
Ni maoni tu, sina jingine ndugu yangu.
- Maneno mazito sana Brother, wanaohusika wapo hapa wanakusikia sana!
William @ NYC, USA.
Wapo wengi ambao wamejitokeza kwenye public kuwatumikia wananchi lakini waliamua kutumia majukwaa mengine na si kwenye Magamba. Hili gari (CCM) limechakaa kiasi kwamba hata huwezi kuli-trade in, lililopo ni kulitupia mbali maana hata recycling ime-prove kuwa halikubaliki. Watu wanataka mabadiliko na si sanaa za TOT.
William, kwa kiasi fulani I can understand kwa nini umeshikilia bango hii hoja ya kofia mbili kuvaliwa na mtu mmoja. And you know why I said you know.
Kuhusu mfumo wa ubepari Kenya na Ujamaa Tanzania - siamini hata kwa asilimia 5 kwamba ndio sababu kuu ya kuchanganya mambo. Appriximately, 40% wa watanzani wana umri chini ya miaka 17!!! Azimio la Zanzibar lililozika Ujamaa lilikuwa lini? vijana hawa wanajua mambo/maneno kama ujasiriamali, machinga, google na sasa facebook. kwa maneno mengine hawajakuzwa na huu mfumo wa ujamaa. Na ukienda mbele zaidi more than 60% ni chini ya 30 yrs old. kama Watanzania are old enough kuona mapungufu kwenye mfumo wa kiuongozi inakuwaje mtu aseme ni wachanga kutoa solution? Hivi kuna hasara gani kutenganisha viti hivi viwili? CHADEMA wamefanya hivyo wakati wa campaign walau mwenyekiti amebakia kuwa mwenyekiti na mgombea urais akawa kwenye safu ya Urais. Halikuharibika jambo!
- Mkuu usanini ni kila mahali, ila unakua na wakati wake!
William @ NYC, USA.
- Unajua Mungu alituumba sometimes kusema our fears bila kujua, it takes a lot ku-figure out anachokisema binadam mwingine na asichokisema, maisha yangu hayakuhusu jali yako hapa ni uwanja wa hoja za siasa kuhusu taifa. Ninachokifanya hapa New York na nisichokifanya hukijui na wala hutakuja kujua, kama ambavyo ulikuwa hujui ya shareholding hapa, jali ya kwako achana na mimi kuna siku utajua sehemu zote ninazoshiriki ndio utashangaa zaidi ha! ha! ha!!
- Jumapili I had a great talks na Mheshimiwa Tundu Lissu, maana ndio wanaojua hasa kinachoendelea kwenye taifa letu na tunaheshimiana sana maana wanaheshimu sana mchango wangu kwa taifa, ya Mungu na lucifer huwezi kuchanganya na siasa! Wasalimie!
William @ NYC, USA.
Mbowe alifanya kwa utashi wa katiba au kwa kuona hafui dafu kwa wagombea wengine? Wa TLP, NCCR nao ni katiba za vyama vyao au? Nadhani maana ya kutenganisha Uenyekiti na Urais ni ili Mwenyekiti wa Chama abaki kwenye kazi za chama na asiwe mtendaji wa Serikali. Kina Mbowe, Mrema Lyatonga na Mbatia wao hawakuacha kugombea ili kufanya kazi za chama bali waliona uwezo wao ni Ubunge.
Mimi binafsi nakubaliana na hoja ya kutenganisha Uraisi na Uenyekiti wa Chama ili Raisi aliyeko madarakani awe anawajibika kwa Secretariat ya Chama Chake kiutendaji tofauti na ilivyo sasa ambapo karibu kila kitu yeye ni msemaji wa mwisho.
William, Matatizo ya wenzetu ni afadhali haya ya kwetu yamepita kiasi. Fikiria umeme unakatika usiku mzima na joto hili la dar na maji ya kuoga hakuna dumu mojaTsh 250 tena maji ya chumvi, hapo kaka mshahara sh 85,000 kwa mwezi? Mchele kilo 1600, Unga 1000 bado matumizi mengine... Mafuta ya Petrol na ya Taa ni zaidi ya dola moja na ushee kwa lita... yaani hakuna pa kujikuna hali ni mbaya sana.
hali ni mbaya mbaya vibaya, niamini mimi bila marekebisho katika uongozi wa nchi hii nakwambia hatufiki 2015, watu wa hali ya chini itafikia hatua watashindwa uvumilivu. na dalili ya tunakokwenda kwa mtazamo wangu ni GIZA kabisa, sioni mwanga kabisa kama hata elimu tunailetea maloloso (utani) yaani tunajiua wenyewe.
Ni maoni tu, sina jingine ndugu yangu, sina uhakika ulikuwa unaongelea CCM inakotoka na inakokwenda au Taifa kwa ujumla.
Bwana WM usikate tamaa na hizo porojo. CCM sasa imepata makamanda wa kupambana na kelele za Dr. Slaa. Hawa watu walizoea wao kupiga makombora na akina Makamba kutulia, siku hizi tz mambo mswano, Dr. Slaa akitoa kashfa kuhusu ufisadi wa CCM, Nape anajibu na vielelezo wa UFISADI wa Dr. Slaa.
Hao CDM kesho wana mkutano Songea, leo CCM ina mkutano Songea; KUMEKUCHA!!!!
Wapo wengi ambao wamejitokeza kwenye public kuwatumikia wananchi lakini waliamua kutumia majukwaa mengine na si kwenye Magamba. Hili gari (CCM) limechakaa kiasi kwamba hata huwezi kuli-trade in, lililopo ni kulitupia mbali maana hata recycling ime-prove kuwa halikubaliki. Watu wanataka mabadiliko na si sanaa za TOT.
Willium unamkwara wewe sikuwezi! I wish kama huo mkwara ungewakimbiza kina RACHEL mpaka ukonga teh! By the way nimefurahishwa na mkutano wako na Tundu Lisu hapo ndipo mm na wewe tunapo intersect utaifa mbele chama kinafuata baadaye big up man!
- Ningependa kuona Dr. Kitila na Mwanakijiji wanapewa nafasi ya kuiongoza Chadema on priorities za taifa!, hata on a high consultation level.
William @ NYC, USA.
!!!!!!! ?????////
- Binafsi ninasema kwamba Tanzania, tubadilike na kuanza kulilia utawala unaoheshimu sheria, na sio none ishus kama za kofia mbili au mmoja, hili taifa tatizo letu ni moja tu hatuheshimu sheria, iwe wananchi mpaka viongozi, hatuheshimu sheria za Jamhuri. Rais anatakiwa kuitwa bungeni na kuhojiwa na bunge through kamati zake, wasaidizi wa Rais wapitishwe na bunge kwanza, I am praying kwamba siku moja tutafika huko, tutakapofika huko ndipo utaona hakuna faida tena ya Mwenyekiti wa chama kuwa mgombea urais!
- Kwa mfano jamaa hapa US aliteuliwa na Rais kwenda kuwa Balozi Colombia, jina lake likapelekwa Congress kupitishwa, ikagundulikwa kwamba alipokuwa College aliwahi kushikwa akivuta bangi, now Senate wakamkataa kwamba atakwendaje kuwa Balozi kwenye cnhi yenye Drugs kama Colombia, ikabidi Rais achague mwingine, this is what we need bongo, wallahi wataondoka viongozi wengi sana wababaishaji, wewe fikiria kwamba Tanzania tulimleta kiongozi aliyesimamia kuungua kwa BOT kuwa Balozi huku, I mean wazungu walishangaa sana!
William @ NYC, USA.
- I like Chadema as chama, lakini I dont trust baadhi ya viongozi wake muhimu wa taifa ingawa I trust Mh. Mbowe kwa sababu I know him kwa karibu sana toka tukiwa watoto, nimetumia muda mwingi sana kujifunza siasa kwa Marehemu baba yake pale Sea View, so I know the views za Freeman na taifa and I respect that, lakini siwezi kujiunga na Chadema kwa sababu I am not convinced kwamba wako ready for prime time!
- HOWEVER: CCM will always get better kwa sababu hahitaji kujirudia itself, katika hizi zama za mwendo wa vyama vingi huwezi kuhesabu the old CCM as anything in order ku-analyize its future,
- CCM haitajirudia kwenye old self, isipokuwa it will get better kwa sababu Wapinzani hawako tayari kuungana halafu pia viongozi wengi waliopo huko hawako tayari kuwaachia vijana, kwenye uchaguzi ujao CCM itaondoa viongozi karibu wote wazee and that will be the homerun, tizama sasa hivi Nape anavyowapa taabu Chadema, I mean nimewaambia CCM mara nyingi sana huko nyuma kwamba all they need to do ni kufanya one thing kuondoa mafisadi na boom Chadema watakosa agenda, wamewatoa mafisadi NEC na CC tayari the political game has changed, sasa kweli unafikiri wataishia hapo tu na huku wanaona wazi kwamba stocks za siasa zinawaendea vizuri sasa, no wataendelea ku-get better na siku watakapowatema mafisadi kabisa which is coming soon ndio watakuwa wamejiweka vizuri for a good 10 years!
- Chadema they are doing a great job to our nation no question about it, lakini wakati umefika wa wao kuelewa kwamba siasa ni kuachiana vijiti huu ni wakati wa Slaa kukabidhi mwingine kijiti, he has done an-excellent job, infact yeye na Mbowe wamefanya a fantastic job kwa Chadema ever, lakini the time has come kwa Chadema to change its direction na kuwa wabunifu zaidi na hasa kuwaelimisha wananchi ishus serious kwa taifa, kwa mfano DOWANS I mean that monster is more than what you know, utashangaa kusikia what you dont know about it na Chadema they know, lakini what should be the national priority on their agenda sasa hivi wanahangaika sana kwa wale tunaoelewa siasa. Agenda ya ufisadi imesaidia sana kuongeza wabunge, sasa ni wakati wa kutafuta agenda nyingine, ni mawazo yangu tu people!
William @ NYC, USA.
CCM mnajikanganya, hakuna msimamo wa taarifa, huyu akisema A mwingine anasema Z. Oneni wenzenu wa Chadema walivyo smart, hata kwenye kampeni 2010 walikuwa smart katika kujibu maswali utafikiri walipewa kwanza somo. Tatizo sijaweza kuona tofauti ya comrade Makamba na Nape na huyo Mukama. Wote kushoto kulia tu. Hakuna cha kujivua gamba wala nini? Nyoka ni yule yule tu, tena kwa kawaida nyoka akijivua gamba ndo anakuwa mkali zaid, kwa mantiki hiyo mambo ni mabaya zaidi kwa Chama chetu hicho. Kuna zaidi ya kubadili viongozi, chama kimeshapasuka makundi matatu, CCM Asili, CCM Mamboleo na CCM Chumia tumbo.
- Binafsi ninasema kwamba Tanzania, tubadilike na kuanza kulilia utawala unaoheshimu sheria, na sio none ishus kama za kofia mbili au mmoja, hili taifa tatizo letu ni moja tu hatuheshimu sheria, iwe wananchi mpaka viongozi, hatuheshimu sheria za Jamhuri. Rais anatakiwa kuitwa bungeni na kuhojiwa na bunge through kamati zake, wasaidizi wa Rais wapitishwe na bunge kwanza, I am praying kwamba siku moja tutafika huko, tutakapofika huko ndipo utaona hakuna faida tena ya Mwenyekiti wa chama kuwa mgombea urais!
- Kwa mfano jamaa hapa US aliteuliwa na Rais kwenda kuwa Balozi Colombia, jina lake likapelekwa Congress kupitishwa, ikagundulikwa kwamba alipokuwa College aliwahi kushikwa akivuta bangi, now Senate wakamkataa kwamba atakwendaje kuwa Balozi kwenye cnhi yenye Drugs kama Colombia, ikabidi Rais achague mwingine, this is what we need bongo, wallahi wataondoka viongozi wengi sana wababaishaji, wewe fikiria kwamba Tanzania tulimleta kiongozi aliyesimamia kuungua kwa BOT kuwa Balozi huku, I mean wazungu walitushangaa sana!
William @ NYC, USA.
Wapo wengi ambao wamejitokeza kwenye public kuwatumikia wananchi lakini waliamua kutumia majukwaa mengine na si kwenye Magamba. Hili gari (CCM) limechakaa kiasi kwamba hata huwezi kuli-trade in, lililopo ni kulitupia mbali maana hata recycling ime-prove kuwa halikubaliki. Watu wanataka mabadiliko na si sanaa za TOT.