Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,281
- 2,423
Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi ya kunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.
Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM hasa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010.
Najua unakumbuka niliwahi kuwa na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakuwa sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally