Kwako Dr.Bashiru Ally

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,270
2,417
Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi ya kunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.

Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM hasa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010.

Najua unakumbuka niliwahi kuwa na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakuwa sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.

Naomba nikomee apa.

Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
 
Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi yakunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM asa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010. Najua unakumbuka niliwai kua na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakua sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
Ikiwa wewe ni mhitimu wa "political science" wa chuo kikuu ni kuliombea dua tu taifa hili, tulipo pana afadhali kuliko tunapoelekea.

Eeh Allah tujaalie tuepukane na majanga haya ya wanasiasa uchwara.
 
Msomi wa "political science" kutoka Mlimani akiwa na stress usiku wa manane ni hatari tupu....
Apa lazma utokwe povu bila sababu..Mimi nimeomba kufutwa kwa kozi nilizofundishwa na Mwl.Dr.Bashir Ally basi .Naona aibu sana kua na cheti kilichoandikwa masomo ambayo nimefundishwa na huyu Mwalimu basi.
 
Huyu jamaa amebadilika Sana baada ya kupata cheo. Amenifunza pia ila mda ulivozidi kwenda nikaona ubabaishaji mwingi... Nikahama kozi.....
Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi yakunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM asa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010. Najua unakumbuka niliwai kua na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakua sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
 
Sina mengi ya kuandika ila ninayo mengi yakunifikirisha na kuomba. Ninachokiomba kwako Mwl.Dr.Bashir Ally Kakulwa na katibu wetu wa CCM Taifa.Nakuomba uwaruhusu wataaluma wa UDSM asa Idara ya Sayansi ya Siasa(Political Science) wafute masomo(course) zote ulizonifundisha nikiwa mwanafunzi wako mwaka 2007 -2010. Najua unakumbuka niliwai kua na mgogoro wa kitaaluma na wewe baada ya kubishana takribani dakika 25 ukiwa unatufundisha kwakua sikuafiki mtazamo wako na mtazamo wa jumla.
Naomba nikomee apa.
Nakuomba sana Mwl.Bashir Ally
Kwa ulivyoandika inaonekana hujawahi kusoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama uliwahi kufika Chuo basi ulipita tu, pole sana. Aliyekutuma angekuandikia na huo ujumbe kabisa ili wewe uuweke tu hapa. Na kama hiki ndicho kiwango cha wahitimu wa Chuo Kikuu basi Taifa limepata hasara kubwa sana.
 
Uwasilishaji wa hisia zake mbovu. Stress tupu.
Kama una misgivings au unatofautiana na Bashiru sema hivyo na elezea. Bashiru hakujipangia alichokifundisha. Hapa ndipo nami napata wasiwasi ni kwa vipi mhitimu wa chuo kikuu anakosa basics za kuandaa na kuwepo mitala ya elimu.
 
Apa lazma utokwe povu bila sababu..Mimi nimeomba kufutwa kwa kozi nilizofundishwa na Mwl.Dr.Bashir Ally basi .Naona aibu sana kua na cheti kilichoandikwa masomo ambayo nimefundishwa na huyu Mwalimu basi.

Sababu tu kamponda anayewaweka mjini bashite poor you
 
Ikiwa wewe ni mhitimu wa "political science" wa chuo kikuu ni kuliombea dua tu taifa hili, tulipo pana afadhali kuliko tunapoelekea.

Eeh Allah tujaalie tuepukane na majanga haya ya wanasiasa uchwara.
Kweli kabisa,
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom