Kwaherini Star times

Kwaherini Star times

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana.

Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times

Kweli mmetutesa.
 
mi hawa ZUKU wamenichosha aswaa, kwenye king'amuzi chao hamna ITV, CLOUDS TV, CHANNEL TEN, STAR TV, zaidi ya TBC tu na wasafi sijui, kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni chchote, nataka ninunue King'amuzi cha azam tu kwakweli
Najutaaa
 
Njoo dstv huku full shangwe
 
Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana.

Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times

Kweli mmetutesa.
Utamiss waaris
 
Ngoja niamie azam aisee...!! Startimes wapuuzi clouds wameitoa.
 
Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana.

Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times

Kweli mmetutesa.
Naunga mkono
 
Nilitaka kununua startimes kwa ajili ya ITV ila nkaambiwa changamoto zake. Bora tu imerudi.
 
Kila mmoja anunue kunachomfaa kulipia hata 10000 wengine hatuwezi,hizo gharama tuwaachie wenye uwezo.
 
Back
Top Bottom