Kwaherini Star times

Kwaherini Star times

Sasa tunataka warudishe Star TV na Wasafi tumalize ubishi.
 
Sasa tunataka warudishe Star TV na Wasafi tumalize ubishi.
 
We unaye tumia dstv ukiwaza package itaisha mapema baki huko startime
Inaelekea hujawahi tumia DSTV
Njoo Dstv, ila usiwe na hela ya mawazo kuweka kifurushi
Watz sijui nani aliwaroga. Yani asilimia kubwa ya wanaotumia DSTV hujiona wenye hela na wajanja. Yani huhisi wapo ulaya .

Umenunua DTSV kwa 99,000 na unalipia kifurushi cha 19,000 huzidi hapo ilhali mwingine kanunua Azam 150,000 na analipia Sh. 18,000 unajiona mwenye hela na uliyeendelea.

Huwa nawafananisha na wale wanaosema hawapendi movie zilizotafsiriwa alafu unawakuta wanaangalia movies za Jet Lee wakihisi anaongea kiingereza kumbe zimetafsiriwa pia kutoka kichina kuja kiingereza. Simply unagundua anajikweza tu kuwa anajua kiingereza
 
DSTV,,!? Kabisa,, kifurushi kinakata siku 25 badala ya 30 na kikikata hata TBC huioni,, DSTV hapana aisee
Hamna unawasingizia mkuu ni mwezi mie sijawahi katiwa kabla tarehe ninayo lipa ni hiyo hiyo tena siku hizi unakumbushwa kabla hata siku 5
 
Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana.

Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times

Kweli mmetutesa.
Mmejoleta sisiemu sasa wenyewe Hukú chaneli teń pale clouds huko itv...
 
Sawa mwezi uliopita tu nimelipia tarehe 2/8 tarehe 26/8 wakakata,,
Uliwapigia wakasemaje? Inawezekana ilikuwa connetion tu ya nyaya au signal zilishuka. Ila hawana kawaida ya kukata kabla ya siku
 
Watz sijui nani aliwaroga. Yani asilimia kubwa ya wanaotumia DSTV hujiona wenye hela na wajanja. Yani huhisi wapo ulaya .

Umenunua DTSV kwa 99,000 na unalipia kifurushi cha 19,000 huzidi hapo ilhali mwingine kanunua Azam 150,000 na analipia Sh. 18,000 unajiona mwenye hela na uliyeendelea.

Huwa nawafananisha na wale wanaosema hawapendi movie zilizotafsiriwa alafu unawakuta wanaangalia movies za Jet Lee wakihisi anaongea kiingereza kumbe zimetafsiriwa pia kutoka kichina kuja kiingereza. Simply unagundua anajikweza tu kuwa anajua kiingereza
It still doesn't matter
 
Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana.

Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times

Kweli mmetutesa.
Azam bado channel mbili tu kinakuwa king'amuzi bora duniani.

Wakiweka Startv na Wasafi TV wstatisha hatari. Mpaka sasa Azam anaongoza kwa goli 8 Dstv 0.

UEFA tutaiangalia bar
 
Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana. Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times Kweli mmetutesa.
Star times miaka mitano wanaonesha picha zilezile, kazi yako ni kugeuzageuza tu. TCRA hawashughulikii malalamiko ya watazamaji wao kazi yao ni kukamata tu!
 
Wasalimie huko, ila yakikorogeka unakaribishwa tena
 
Nina azam na dtv ila dtv wako vixury hukos cha kungalia
 
Back
Top Bottom