AZAM TV ndo namba moja kwa habari Tanzania, ITV hamna kitu

ITV ni sawa na TBC tu hawana ubunifu wowote!

ITV studio yao toka ilipoanzishwa utadhani Designer wao alikufa baada ya kazi hiyo ! HAWABADILIKI!
TV zimechoka na Watangazaji wanaganga njaa tu!

Jamani nendeni hata hapo Kenya tu mkajifunze namna nzuri ya ku- manage TV zenu!

Wabongo wape umbea na habari za urongo urongo tu kama za akina Mwijaku na Baba Levo!

Kwa habari za kijinga jinga, umbea, Uchawa kwao Dunia nzima inasubiri!
 
...
Mbona kama unawagombeza, ...hamna sheria inayolazimisha kuangalia taarifa ya habari tv fulani.... chagua upendacho ndugu.
 
ITV ni sawa na TBC tu hawana ubunifu wowote!

ITV studio yao toka ilipoanzishwa utadhani Designer wao alikufa baada ya kazi hiyo ! HAWABADILIKI!
TV zimechoka na Watangazaji wanaganga njaa tu!

Jamani nendeni hata hapo Kenya tu mkajifunze namna nzuri ya ku- manage TV zenu!

Wabongo wape umbea na habari za urongo urongo tu kama za akina Mwijaku na Baba Levo!

Kwa habari za kijinga jinga, umbea, Uchawa kwao Dunia nzima inasubiri!
Halaf itv habari zao ni za kusifia serikali tu azam angalau
 
Acheni kufananisha ITV na vitu vya kijinga kwenye habari. Na umri wangu nimeshaona mengi lakini mpaka leo sijawahi kuona watu wakiangalia taarifa ya habari AZAM
Umewahi kuangalia UTV? ITV imeondoka na mwenyewe..
 
Hivi kuna TV inajitahidi kwa taarifa za habari ambazo ni reliable na za kuvutia kama Azam

Angalieni itv, Startv, TBC, channel ten clouds hamna kitu bali Azam kwa habari wapo vizuri

Taarifa yao ya habari inavutia sana sio kama itv
Wapenzi wa Msimbaza wameanza...
 
UTV WAKO VIZURI NA WANA LIVE COVERAGE YA HABARI THROUGH FACETIME IN SHORT HABARI ZAO ZIKO MORE ADVAMCE
 
Mm ITv napenda kuangalia tu akiwa anatangaza odana madai , aisee that woman make me super man nikimwona.. mengine napiga chini mapema sana.
 
Azam najua wapo vizuri kwenye mpira tuu mpira ukiisha naamia TV zingine kumbe hata zile taarifa zao za habari zipo sawa ngoja ntawakagua leo ingawaje ITV pamoja na kudumaa kwao hawawezi kuwa sawa na Azam..
 
Wana taarifa nzuri sana
 
Back
Top Bottom