Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Ndugu zangu, wapwa, mabinamu, invizibo, mwalimu,wana MMU na wana JF kwa ujumla, mabibi na mabwana.

Kama mnavyojua ndugu zangu na watani zangu ndio hivyo wako katika siku za mwisho mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hitimisho lake ni kuonekana kwa mwezi hivi leo au hapo kesho.

Kwa upendo na kwa nia njema napenda kuwatangazia kuwa, leo usiku nitakuwa bize kuutafuta mwezi na Inshallah NI LAZIMA uonekane leo na wala si Kesho...Mwezi UPENDE USIPENDE. Ikiwezekana leo nyota zitakuwa Mwezi.

Kwa kuwa mwezi ni LAZIMA uonekane LEO tena kwa MACHO yangu, napenda kuwatakieni Eid El Fitr njema.. Kesho sitakuja kibaruani kwa GHARAMA yoyote ile, kwa hiyo namtakia mkoloni na Bosi wangu mpendwa LONG week end njema. Kama bosi wangu hatauona mwezi shauri yake na ubovu wake wa macho yake. Na wala hainihusu!

Hapa JF pia sitakuwepo mpaka JUmatatu, Inshalla Mola akijalia...Naomba mniweke kwenye SALA zenu ili niweze kuuona mwezi vizuri LEO na wala si KESHO!

Kwa mantiki hii basi nawatakieni Ndugu zangu Waislamu Wote na Watanzania kwa Ujumla Idi Mubarak na weekend njema.

KWA MAPENZI NA FURAHA NDUGU ZANGU NNAWAPENI MKONO WA IDI!

:violin::violin::violin:
 
Ameen!
Nawe BWANA YESU akutangulie na safari yako!
Mikitaboloki, Engai Engoitoi-Ashee Oleng!
 
Mufti hajatangaza bado Aspirin!by the way, umeshapona kiuno?
 
Ndioooo Aspirin, huo mwezi lazima leo utoke kaka.EID NJEMA.
 
Kiongozi, mi siangalii cha Mufti katangaza au laa! cha msingi ni MIMI kuuona mwezi leo....

Hahahaa! kiuno mbona hakihusiani na Idi?
 
Kiongozi ntakuomba ujiunge nami katika hili la kuusaka mwezi... kuonekana LEO ndiyo SERA yetu!!!!
 
Kiongozi, mi siangalii cha Mufti katangaza au laa! cha msingi ni MIMI kuuona mwezi leo....

Hahahaa! kiuno mbona hakihusiani na Idi?

He,kiongozi angalia hiyo IDD usije ila peke yako!sijui ni suni,budha au...........!
 
sasa hapa utauona wewe au unataka tukusaidie kuuona?

manake wengine macho yetu Mashallah :)
 
Kamanda hapa ishu ni mwezi kuonekana leo....Yaani Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili tunakuwa bize na yale mambo yetu. Hamna cha Answar suni wala nini. Ishu ni mwezi kuonekana...LEO!!
 
Hommie mie nipo Mascat huku....Jua lawaka na mwezi tunauona!! kwa Hiyo Watake wasitake Kesho ni IDD!! na mie naungana na wewe my homeboy pamoja na wana JF wote na wa Tz kwa ujumla kuwatakia IDD njema! naona maandalizi ya "Chawote Pub" yanapamba moto...meet you there!!:becky:
 
Hommie hebu do the needful...Mwezi ni Lazima UANDAME leo. Maandalizi yako tayari hapa!

sasa hapa utauona wewe au unataka tukusaidie kuuona?

manake wengine macho yetu Mashallah :)
Mkinisaidia kuuona ntafurahi sana...Lakini haimaanishi kuwa eti msipouona mi ndio sitauona pia. Mi ni LAZIMA NIUONE leo!!
 
Kamanda hapa ishu ni mwezi kuonekana leo....Yaani Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili tunakuwa bize na yale mambo yetu. Hamna cha Answar suni wala nini. Ishu ni mwezi kuonekana...LEO!!

Swala ya IDD itafanyikia wapi kiongozi?
 
Basi ukisha kuuona na sie si utuletee taarifa au? au tujue tu kuwa wewe tayari umeshauona? :d
 
Hommie hebu do the needful...Mwezi ni Lazima UANDAME leo. Maandalizi yako tayari hapa!
Halina Mjadala hili hommie....Mkoloni atalijua hili nini tofauti ya "mtumishi" na "mfanyakazi!!:violin:......mi nakuuupa mkono wa Idd.....nakupaaa mkono wa Idd...
 
Swala ya IDD itafanyikia wapi kiongozi?

Popote pale ntakapoamkia (Kuonekana kwa mwezi kuna uhusiano wa karibu na matumizi ya alkoholi kwa wingi):welcome::welcome:
 
Back
Top Bottom