Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Halina Mjadala hili hommie....Mkoloni atalijua hili nini tofauti ya "mtumishi" na "mfanyakazi!!:violin:......mi nakuuupa mkono wa Idd.....nakupaaa mkono wa Idd...
Utawajua tu kwa maneno yao.watumiaji wakubwa wa hotchair na ulanzi........
 
Popote pale ntakapoamkia (Kuonekana kwa mwezi kuna uhusiano wa karibu na matumizi ya alkoholi kwa wingi):welcome::welcome:

Eeeeeh!mola muepushe huyu kiumbe na mabalaa, Alhamisi,Ijumaa, Jumamosi na Jumapili!tutapona kweli?
 
Du! Dogo, unavituko wewe.

Mwezi na Idd tu, thread ndeeeeeeeffffuuu!

Poa bana. tuko pamoja.
 
Basi ukisha kuuona na sie si utuletee taarifa au? au tujue tu kuwa wewe tayari umeshauona? :d
Naomba uwe na imani na mimi kuwa leo NI LAZIMA MWEZI NIUONE. Kwa mantiki hiyo basi, mheshimiwa mwalimu nakutangazia rasmi kuwa Nimeshauona mwezi!
 
Naomba uwe na imani na mimi kuwa leo NI LAZIMA MWEZI NIUONE. Kwa mantiki hiyo basi, mheshimiwa mwalimu nakutangazia rasmi kuwa Nimeshauona mwezi!
Kwa nini unang'ang'ania kuwa ni lazima uuone mwezi,magreti sinka unatuopa tafsiri tofauti,isije kuwa mwezi mwingine ule wa ki-balojia.maajabu mengine ya dunia
 
Eeeeeh!mola muepushe huyu kiumbe na mabalaa, Alhamisi,Ijumaa, Jumamosi na Jumapili!tutapona kweli?

Amina! Natumai sala yako imesikilizwa na inshaalah mwezi utaandama!
 
Naomba uwe na imani na mimi kuwa leo NI LAZIMA MWEZI NIUONE. Kwa mantiki hiyo basi, mheshimiwa mwalimu nakutangazia rasmi kuwa Nimeshauona mwezi!

mie ninakuhurumia tu....................siku nne mfululizo lazima siku ya tano yake mkoloni ajiulize kama mwezi UMEUONA tena manake utashindwa kutia timu kazini :becky:
 
Na wewe maelezo marefu point moja tu, mengine hayatuhusu. Tuna vitu vingi vya kupitia kwenye jamii forum.
 
Utawajua tu kwa maneno yao.watumiaji wakubwa wa hotchair na ulanzi........
We sijui nikujibuje? Wapi hommie Kimey, hebu kuja jibu hii muchumba yangu hapa!

Senkyu hommie!

Kwa nini unang'ang'ania kuwa ni lazima uuone mwezi,magreti sinka unatuopa tafsiri tofauti,isije kuwa mwezi mwingine ule wa ki-balojia.maajabu mengine ya dunia

Bahati nzuri hii yuziful sredi haiwahusu ma greti sinkaz!
 
Na wewe maelezo marefu point moja tu, mengine hayatuhusu. Tuna vitu vingi vya kupitia kwenye jamii forum.

Naona huyu griit sinka amepotea njia...Haya rudi kule ukamjadili mchumba wa Dr. Slaa aliyeporwa sijui??? Agrrrrrrr!!!
 
Asprin usipoonekana leo lazima tuunganishe nyota ziwe mwezi..IDD NJEMA
 
Hahahahah mimi na Mzenj wangu mwezi lazima uonekane leo! Si unajua alikuwa amefunga sasa yale mambo yaleeeeeeeeeeee yalikuwa hayapo kwa mchungaji!

IDD Mubarak wote!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom