Machifu wa Mbeya wasikitishwa na utendaji wa Mkurugenzi wa TARI

May 12, 2023
11
2
Muungwana akivuliwa nguo huchutama lakini kwa Mkurugenzi wa TARI Dkt. Mkamilo imekuwa tofauti kwake. Mbeya ni miongoni mwa sehemu ambazo bado wanalinda utamaduni wao. Mojawapo ya utamaduni wao ni kuwaheshimu viongozi wao wa kimila ambao hujulikana kama machifu. Machifu wa Mbeya wamechukizwa sana na Dkt. Mkamilo.

Machifu wamuomba Waziri Bashe kuteua Mkurugenzi Mkuu mwingine ambaye ana maadili na mwadilifu kwenye kulinda rasilimali za umma. Dr Geoffrey Mkamilo tarehe 23/05/2023 ameingia Mbeya kutatua mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Sae na Kituo cha TARI Uyole. Machifu wamechukia sana baada ya nyota zao kuonesha mtu ambaye anapaswa kuwa magereza kafika kutatua mgogoro wa ardhi kati yao na Kituo cha Utafiti wa Kilimo.

Wananchi baada ya kupata taarifa kwamba mtatuzi wa mgogoro na aliyetumwa kujadili fidia ya ardhi sio mwadilifu na mizimu yao imemkataa, Dr Mkamilo amekimbia na dreva wake. Juhudi za kutaka kujua maeneo aliyokimbilia zimeendelea bila mafanikio.

Imeonekana k Dr Mkamilo aliingia jijini Mbeya leo asubuhi, baada ya mgogoro kumshinda amekimbilia Gepsa na Dreva wakajaza mafuta na wakaondoka.

Mhe Bashe tunakuomba chondechonde uingilie kati kuhusu mgogoro Dr Mkamilo ameshindwa kuvaa viatu vya ukurugenzi ambapo anapelekea baada ya kutatua migogoro yeye ndio anakuwa mchochezi wa migogoro hiyo.

Hajafanya kama ulivyomuelekeza bali kakoleza mgogoro na kuukuza zaidi huyu mwamba kutoka TARI. Katika kipindi cha miaka 5 ya Dr Mkamilo akiwa Mkurugenzi wa TARI, muda mrefu amesababisha migogoro hasa kwa Kituo cha TARI Selian.

Kwa uzoefu wa kuchochea migogoro, leo katoa kizaazaa akiwa Mbeya jimboni kwa Dr Tulia Ackson.
 
Una hoja lkn umeitoa nusunusu,imegeuka umbeya.
 
We unaelewa hata unachoandika? Machifu ndio watu gani ktk utawala wa nchi hii? Hao kazi yao kutambika tu huko kwenu.
 
Unaonekana wewe ni mtafiti wa mchongo. Sisi Scientists hatunaga muda wa umbea, ni matokeo tu kusaidia jamii na taifa. Sijui unapata wapi muda wa majungu badala ata ya kupiga shule umekalia umbea. Tafiti zako zitakua za kimbeambea pia.Probably wewe ni mfanyakazi wa TARI mzembe sana huezani na speed ya Dr Mkamilo.
Namfahamu Geof muda mrefu sana kwa kazi zake na mentorship yake. Nashauri SSH amuongezee muda
 
Back
Top Bottom