Kwaheri Diana, tutaonana Mungu akipenda...

Mtazamo wangu bado hauja ujua bila Shaka anaye one kana stupid ni wewe --Ambaye Unalazimisha akili yangu "iweze kuwaza mashudu na upumbavu kama ilivyo akili yako ..

Wasted sperm
Mtazamo wako uko based na ignorance, kwa hiyo unakufanya kuonekana stupid ukiutoa hadharani.

- Views expressed on the basis of ignorance is a manifestation of stupidity
- Beliefs on the basis of ignorance is stupidity
 
maisha yanachanganya sana,somtime unaweza usione hata maana yake.
Mie ni mmoja wa watu ambao kabisa sioni maana ya maisha, Hayana guarantee na yanaweza kuisha popote.

Huwa napata Shida sana nikiwa kwenye msiba ya ndugu na jamaa, unaanza kufikiria muda na pesa marehemu aliotumia mathalan kujifunza kusoma na kuandika, ujuzi na uzoefu fulani katika shughuli zake za kila siku, halafu ndo hivo mnaenda kuzika kila kitu hapo chini na hatutaona Tena

Maisha ukiyapigania, hasa ukapambana na kila changamoto ili uweze kushinda na kufanikiwa, siku unayo taka Kupiga mahesabu vizuri ya juhudi zako ulizofanya na matunda yake, unaona jibu pekeee zuri ni kuwa bora usingezaliwa.
 
Mtazamo wangu bado hauja ujua bila Shaka anaye one kana stupid ni wewe --Ambaye Unalazimisha akili yangu "iweze kuwaza mashudu na upumbavu kama ilivyo akili yako ..

Wasted sperm
Iweje mtazamo wako sijaujua na wewe umeuweka wazi hapa? Umesema "Mungu anawaua watu kikatili Kiasi Hicho . ..like seriously! !!?"

Kwako wewe linatimia andiko la Isaya 9:16,17 - you are guided by people that lead you astray, and hence you are ungodly, wicked and your mouth speaks folly

16 Those who guide this people mislead them,
and those who are guided are led astray.
17 Therefore the Lord will take no pleasure in the young men,
nor will he pity the fatherless and widows,
for everyone is ungodly and wicked,
every mouth speaks folly.
 
Barabara zetu Sio nzuri sana. Kwahiyo inakuwa rahisi ajali kutokea
Ilikuwa alfajiri yenye simu ya mshtuko sana, kwamba P amka..'Diana hatunae tena' nilishindwa kuelewa, sikuweza kuamini.

Kiukweli ni alfajiri ya huzuni kubwa sana.

Diana alikuwa ameanza safari yake ya kufunga ndoa takatifu.. ambapo alienda Mbeya kwa ajili ya kuagwa na wazazi 'Send off' ili baadae send off kubwa ya ndugu, marafiki na jamaa ifanyike Jijini Dar es Salaam tarehe 27 June 2019.

Means Next Thursday, just to know that a week before her day Diana amefupishwa maisha yake na ajali iliyotokea maeneo ya IGAWA mbeya.

Ajali ambayo imemchukua diana, pamoja na ndungu zake wengine wa kuzaliwa watatu !!

Ilikuwa ni usiku wa kikatili sana kwa kweli.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala Pema peponi.

Nitakukumbuka sana Diana kwa ucheshi na uchangamfu wako. Mungu akupokee wewe na ndugu zako.

Kwaheri ya kuonana Kipenzi!

View attachment 1131646

Diana Akiwa na Mumewe mtarajiwa enzi za uhai wake...

.
 
Haha wake up dude. .kwani Kuna ulazima wowote Wa Imani zetu kuwa sawa "

Mbona umeshikilia Bango 'Vitu ambavyo haviwezi Ku -change uhalisia wangu aise. ..Au huna kazi ya kufanya -nikupe usihofu nitakulipa
Iweje mtazamo wako sijaujua na wewe umeuweka wazi hapa? Kwako wewe linatimia andiko la Isaya 9:16,17 - you are guided by people that lead you astray, and hence you are ungodly, wicked and your mouth speaks folly

16 Those who guide this people mislead them,
and those who are guided are led astray.
17 Therefore the Lord will take no pleasure in the young men,
nor will he pity the fatherless and widows,
for everyone is ungodly and wicked,
every mouth speaks folly.
 
Mie ni mmoja wa watu ambao kabisa sioni maana ya maisha, Hayana guarantee na yanaweza kuisha popote.

Huwa napata Shida sana nikiwa kwenye msiba ya ndugu na jamaa, unaanza kufikiria muda na pesa marehemu aliotumia mathalan kujifunza kusoma na kuandika, ujuzi na uzoefu fulani katika shughuli zake za kila siku, halafu ndo hivo mnaenda kuzika kila kitu hapo chini na hatutaona Tena

Maisha ukiyapigania, hasa ukapambana na kila changamoto ili uweze kushinda na kufanikiwa, siku unayo taka Kupiga mahesabu vizuri ya juhudi zako ulizofanya na matunda yake, unaona jibu pekeee zuri ni kuwa bora usingezaliwa.
inatafakarisha sana mkuu.

mpaka unawaza labda kungekuwa na uwezo wa kujua kesho yetu,kila mtu angeishi maisha simple sana,bahati mbaya hakuna hicho kitu.

halafu kuna mtu anasema vifo vingine si Mpango wa Mungu,kisicho Mpango wa Mungu hawezi ruhusu kitokee,wacha wanaomlilia wamlilie yeye maana kakubali waumie kwa malengo anayoyajua yeye mwenyewe.
 
Haha wake up dude. .kwani Kuna ulazima wowote Wa Imani zetu kuwa sawa "

Mbona umeshikilia Bango 'Vitu ambavyo haviwezi Ku -change uhalisia wangu aise. ..Au huna kazi ya kufanya -nikupe usihofu nitakulipa
Kama ume quote Bible basi imani zetu zinapaswa kuwa sawa. La sivyo una quote kitabu ambacho has nothing to do with you, na unaishia kuwa na mdomo wenye kutamka uovu

Soma Ephesians 4:4 - 6
There is one body and one Spirit, just as you were called to one hope when you were called; 5 one Lord, one faith, one baptism; 6 one God and Father of all, who is over all and through all and in all.
 
Lakin pia wapo ambao hawana hii elimu ya kutokusafiri wote kama hao wa moshi kwan ni siku nyingi
....Watu wanne wa Familia moja ya Bi Harusi! Da, inaumiza mno.
Miaka michache iliyopita ndugu, jamaa na marafiki walikuwa wakishangaa nikienda au kurudi kutoka kwenye msiba ama sherehe mkoa mwingine ilikuwa ni marufuku kupanda gari moja mimi na wife.
Na tulipopata watoto na kausafiri kanuni hii niliendelea nayo.
Nilikuwa niko radhi nitafute dereva ndugu awatangulize mamaa na watoto wa kike na mimi nifuate kwa basi na watoto wa kiume.
Kanuni hii ninadumu nayo hadi leo.
 
inatafakarisha sana mkuu.

mpaka unawaza labda kungekuwa na uwezo wa kujua kesho yetu,kila mtu angeishi maisha simple sana,bahati mbaya hakuna hicho kitu.

halafu kuna mtu anasema vifo vingine si Mpango wa Mungu,kisicho Mpango wa Mungu hawezi ruhusu kitokee,wacha wanaomlilia wamlilie yeye maana kakubali waumie kwa malengo anayoyajua yeye mwenyewe.
+1
Tungekuwa tunajua siku za kuondoka Duniani, maisha yangekuwa simple Sana,

Imagine mtu unajua utakufa baada ya miaka 25 labda, kuna haja gan ya kwenda chuo? Kuna haja gan ya kuzaa wakati unajua hutapata nafasi ya kulea watoto?

Naamini mbaya mengi yanafanywa na binadam kwa kudhani watakaa muda mrefu kushinda mwingine, dhuluma ukatili mauaji yote ni kwa sababu hiyo
Kuna siku nilikaa nikafikiri, unajibana Sana na kusave pesa pengine hata kujenga nyumba, lakini kimantiki baada ya miaka 30, nyumba iliyokutaabisha kujenga leo itakuja kaliwa na watu ambao huwajui kabisa, na pengine hata sio ndugu, zako
 
....Watu wanne wa Familia moja ya Bi Harusi! Da, inaumiza mno.
Miaka michache iliyopita ndugu, jamaa na marafiki walikuwa wakishangaa nikienda au kurudi kutoka kwenye msiba ama sherehe mkoa mwingine ilikuwa ni marufuku kupanda gari moja mimi na wife.
Na tulipopata watoto na kausafiri kanuni hii niliendelea nayo.
Nilikuwa niko radhi nitafute dereva ndugu awatangulize mamaa na watoto wa kike na mimi nifuate kwa basi na watoto wa kiume.
Kanuni hii ninadumu nayo hadi leo.
Ni kanuni nzuri mnoo
 
Mungu anawaua watu kikatili Kiasi Hicho halafu bado mnamuambia Azilaze Roho mahali pema. ..like seriously! !!?

Nimejisikia huzuni baada ya kupokea hii taarifa
Kijana wangu Mungu hausiki na kifo chochote ndani ya umri kuanzia 0 mpaka 80th ambapo maandiko yansmasema ukiendelea to 90th basi ni extra given nani majuto na taabu.

Anayeua hapo ni lile jamaa mnaliita 😈!!
 
Poleni sana kwa msiba mkubwa uliowafika. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na subira wafiwa katika kipindi hiki kigumu sana kwenu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Ilikuwa alfajiri yenye simu ya mshtuko sana, kwamba P amka..'Diana hatunae tena' nilishindwa kuelewa, sikuweza kuamini.

Kiukweli ni alfajiri ya huzuni kubwa sana.

Diana alikuwa ameanza safari yake ya kufunga ndoa takatifu.. ambapo alienda Mbeya kwa ajili ya kuagwa na wazazi 'Send off' ili baadae send off kubwa ya ndugu, marafiki na jamaa ifanyike Jijini Dar es Salaam tarehe 27 June 2019.

Means Next Thursday, just to know that a week before her day Diana amefupishwa maisha yake na ajali iliyotokea maeneo ya IGAWA mbeya.

Ajali ambayo imemchukua diana, pamoja na ndungu zake wengine wa kuzaliwa watatu !!

Ilikuwa ni usiku wa kikatili sana kwa kweli.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala Pema peponi.

Nitakukumbuka sana Diana kwa ucheshi na uchangamfu wako. Mungu akupokee wewe na ndugu zako.

Kwaheri ya kuonana Kipenzi!

View attachment 1131646

Diana Akiwa na Mumewe mtarajiwa enzi za uhai wake...

.
 
Mungu anawaua watu kikatili Kiasi Hicho halafu bado mnamuambia Azilaze Roho mahali pema. ..like seriously! !!?

Nimejisikia huzuni baada ya kupokea hii taarifa
Huamini katika Mungu mkuu!!..

Kiukweli Kuna situations mtu unaweza kupitia hadi ukajiuliza kama kweli Mungu yupo na kuna muda unayafurahia maisha hadi unaona kama Mungu unammiliki. Unashukuru tu kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom