Kwaheri Diana, tutaonana Mungu akipenda...

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Ilikuwa alfajiri yenye simu ya mshtuko sana, kwamba P amka..'Diana hatunae tena' nilishindwa kuelewa, sikuweza kuamini.

Kiukweli ni alfajiri ya huzuni kubwa sana.

Diana alikuwa ameanza safari yake ya kufunga ndoa takatifu ambapo alienda Mbeya kwa ajili ya kuagwa na wazazi 'Send off' ili baadae send off kubwa ya ndugu, marafiki na jamaa ifanyike Jijini Dar es Salaam tarehe 27 June 2019.

Means Next Thursday, just to know that a week before her day Diana amefupishwa maisha yake na ajali iliyotokea maeneo ya Igawa mbeya.

Ajali ambayo imemchukua Diana, pamoja na ndugu zake wengine wa kuzaliwa watatu !!

Ilikuwa ni usiku wa kikatili sana kwa kweli.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala Pema peponi.

Nitakukumbuka sana Diana kwa ucheshi na uchangamfu wako. Mungu akupokee wewe na ndugu zako.

Kwaheri ya kuonana Kipenzi!

Diana.jpg

Diana Akiwa na Mumewe mtarajiwa enzi za uhai wake...

.
 
Ilikuwa alfajiri yenye simu ya mshtuko sana, kwamba P amka..'Diana hatunae tena' nilishindwa kuelewa, sikuweza kuamini.

Kiukweli ni alfajiri ya huzuni kubwa sana.

Diana alikuwa ameanza safari yake ya kufunga ndoa takatifu.. ambapo alienda Mbeya kwa ajili ya kuagwa na wazazi 'Send off' ili baadae send off kubwa ya ndugu, marafiki na jamaa ifanyike Jijini Dar es Salaam tarehe 27 June 2019.

Means Next Thursday, just to know that a week before her day Diana amefupishwa maisha yake na ajali iliyotokea maeneo ya IGAWA mbeya.

Ajali ambayo imemchukua diana, pamoja na ndungu zake wengine wa kuzaliwa watatu !!

Ilikuwa ni usiku wa kikatili sana kwa kweli.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala Pema peponi.

Nitakukumbuka sana Diana kwa ucheshi na uchangamfu wako. Mungu akupokee wewe na ndugu zako.

Kwaheri ya kuonana Kipenzi!

View attachment 1131646

Diana Akiwa na Mumewe mtarajiwa enzi za uhai wake...

.
Gone too soon.. Rip Diana... The night has a story to tell
 
Back
Top Bottom