Kwaheri Diana, tutaonana Mungu akipenda...

Mungu anawaua watu kikatili Kiasi Hicho halafu bado mnamuambia Azilaze Roho mahali pema. ..like seriously! !!?

Nimejisikia huzuni baada ya kupokea hii taarifa
Mkuu.. mtu anakunywa pombe anakuwa chakari halafu anaendesha gari... Mungu atahusikaje? Au unakuta dereva anaendasha speed 170km/hr, akipata ajali Mungu anahusikaje? Japo mifano niliyotoa haina uhusiano na ajali ya thread hii lakini nataka kusema tu si binadamu ndiyo chanzo kikubwa cha ajali.
 
Huamini katika Mungu mkuu!!..

Kiukweli Kuna situations mtu unaweza kupitia hadi ukajiuliza kama kweli Mungu yupo na kuna muda unayafurahia maisha hadi unaona kama Mungu unammiliki. Unashukuru tu kwa kila jambo
Kwa kweli Imani yangu kwa huyo mungu haipo
 
Haha hawaja kuelewa mkuu "wenge kuporomoshea matusi na Tambo za kejeli mpaka ukome. .....

Yule jamaa mwenye upendo kwa wote ana dhidi kuzihirisha kuwa yeye ni nadharia tu kama character's kipepe na madenge wa kwenye gazeti la sani
Poleni sana, hasa aliyekuwa mume mtarajiwa.

I can imagine Diana alikuwa mmoja wetu humu, tukimtania na kumtongoza. Huyu jamaa mwenye upendo wote sijui yuko wapi.
 
Haha hawaja kuelewa mkuu "wenge kuporomoshea matusi na Tambo za kejeli mpaka ukome. .....

Yule jamaa mwenye upendo kwa wote ana dhidi kuzihirisha kuwa yeye ni nadharia tu kama character's kipepe na madenge wa kwenye gazeti la sani
Ni ngumu sana kumuelewa huyu jamaa mwenye upendo wa agape, asiyeshindwa kitu, lakini anaruhusu sisi tufe, tuoze. Its really hard to understand. Najua sikueleweka, ningerushiwa mvua ya matusi balaa
 
Jamaa mwenye uweza wa Yote --lakini ameshindwa -'kujua kuwa akimuumba bwana Satan atakuja kumsaliti na hatimae kuwa mpinzani wake. ..

Ukiwauliza wafuasi wake sasa uweza wake wa yote uko wapi! !? Wanaanza kukuletea kashfa mbali mbali na matusi
Ni ngumu sana kumuelewa huyu jamaa mwenye upendo wa agape, asiyeshindwa kitu, lakini anaruhusu sisi tufe, tuoze. Its really hard to understand. Najua sikueleweka, ningerushiwa mvua ya matusi balaa
 
Mungu anawaua watu kikatili Kiasi Hicho halafu bado mnamuambia Azilaze Roho mahali pema. ..like seriously! !!?

Nimejisikia huzuni baada ya kupokea hii taarifa
Dah mkuu,Mungu anahusikaje na kifo chako mkuu,mbona mnamsingizia sana,unakua kama huna elimu bwana
 
Dah mkuu,Mungu anahusikaje na kifo chako mkuu,mbona mnamsingizia sana,unakua kama huna elimu bwana
Kwa hiyo Mungu ahusiki na kifo ---kumbe anaye husika na kifo ni nani? ? Na wakati huo mungu muweza wa yote anakuwaga wapi! ?mpaka anashindwa kuvizuia hivyo vifo ilhali kuwa ana uweza wa yote ---.. kwa hiyo ina maana huo uweza wake wa yote huwa hauhusiki katika kuzuia binaadamu na viumbe vingine visife. ...kama jibu litakuwa ni ndio ---Basi huyo mungu atakuwa sio muweza wa yote. . Ni kanyaboya tu
 
But am not saying that Marehemu Diane amekufa kifo ambacho kimepangwa na shetani.........NO. Aliyepanga kifo chake simfahamu inawezekana siku zake zilitimia na ndio ilikuwa maandiko yake au ndio shetani karuhusu maagents wake......wachawi, majini, sijui nini......hivyo.

Cha Muhimu ni kumuombea apumzike anapostahili.
Sio vifo vyote ni vya kupangwa, vingine nimakafara na kulogana na watu wanakufa. Ukiwa mtu msafi katika maisha na kusimamia to a Ya kweli Mungu hawezi kukuacha ukafa kifo cha aibu. Katika ulimwengu WA roho, Kuna watu hawalali wanatafuta malighafi Ya shughuli zao za kishetani. Makafara, damu na ndiokazi Ya Lusifar na wafuasi wake. Tafuta mtu WA Imani Ya upande mwingine takwambia fulani nimemkosakosa tu ashukuru Mungu wake.
 
Kwa hiyo --Mungu anazidiwa mpaka na wachawi. ..watoa makafara. ..sasa uweza wake wa yote uko wapi hapo. ..Hahah aise Mungu wenu ni Bandia

Back
Top Bottom