Mungu ni mwema, sakata la ESCROW account lilimfanya mbunge wa Nkenge Assumpta Mshama kujivua nguo kwa wananchi wake, pamoja na kubomolewa kwa ngome kongwe jimboni humo, lakini pia hata kwa sasa mikutano yake ni kama kliniki za vikongwe, jana nimeshuhudia watu wamekaa, hawafiki 40, meza kubwa tu, na marangi ya kijani.
MUNGU NI MWEMA. Kwa heri Assumpta, kwa heri CCM.
MUNGU NI MWEMA. Kwa heri Assumpta, kwa heri CCM.