balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,783
- 15,568
wanna Nkenge wamechagua kula NKE NDE na kamala atawachinjia kabisa
hAsante studio.
Huyu mama acha akafie mbele, sijawhi kuona mwanamke mweupe namna ile, hata mumewe nahisi anajisikia aibu mbele ya wanaume wenzake kuwa na mke ambaye ni mweupe hivyo, yaani jamaa atakuwa anajihisi uwezo wake wa kutongoza ni mdogo, maana kumtongoza mtu mwenye uwezo finyu namna hiyo inaashiria hukutumia nguvu nyingi sana kumshawishi.
AKAFIE MBELE HUKO.