Kwaheri Assumpta Mshama - Mbunge wa Nkenge

Kwaheri Assumpta Mshama - Mbunge wa Nkenge

Yeye na bwana wake Julius Mshama wana mang`ombe mengi yake pale Kijiji cha Mtanana upande wa kaskazini mwa barabara iendayo kibaigwa Dar , kwa hiyo hana shida ni nyie tu na njaa zenu.
 
pimbi hiyo mama hana maana.kuteteachama zaidi kuliko wananchi.kwanza alochelewa nyambafu zake
 
Kwa mshangao nilimshangaa huyu mama (nadhani ni mtetea mafisadi) alivyokuwa akitapita bungeni kama mtoto wa darasa la saba aliyefeli mtihani wa kuingia kidato cha kwanza. Alikuwa anatetea wachota hela ya Tegeta-Escow!!!! aibu kama alipata mgawo wa pembeni wa milioni kumi basi kadhalilisha wanawake wa Tanzania! shame shame shame!
 
Mungu ni mwema, sakata la ESCROW account lilimfanya mbunge wa Nkenge Assumpta Mshama kujivua nguo kwa wananchi wake, pamoja na kubomolewa kwa ngome kongwe jimboni humo, lakini pia hata kwa sasa mikutano yake ni kama kliniki za vikongwe, jana nimeshuhudia watu wamekaa, hawafiki 40, meza kubwa tu, na marangi ya kijani.

MUNGU NI MWEMA. Kwa heri Assumpta, kwa heri CCM.

Assumpta "Kihiyo" Mshama chanda na pete wa Livingistone "Mitusi" Lusinde
 
Popompo sana alijua atachaguliwa uwaziri lalasama konyozake
 
Mungu ni mwema, sakata la ESCROW account lilimfanya mbunge wa Nkenge Assumpta Mshama kujivua nguo kwa wananchi wake, pamoja na kubomolewa kwa ngome kongwe jimboni humo, lakini pia hata kwa sasa mikutano yake ni kama kliniki za vikongwe, jana nimeshuhudia watu wamekaa, hawafiki 40, meza kubwa tu, na marangi ya kijani.

MUNGU NI MWEMA. Kwa heri Assumpta, kwa heri CCM.
mkuu mbona unataka kuwadhalilisha wazee?
 
...akawasalimie mabogus wenzake, bunge lijalo hatuhitaji walamba viatu...
 
Yeye na bwana wake Julius Mshama wana mang`ombe mengi yake pale Kijiji cha Mtanana upande wa kaskazini mwa barabara iendayo kibaigwa Dar , kwa hiyo hana shida ni nyie tu na njaa zenu.
Inawezekana ni kweli lakini mbona anajiaibisha vile.au ni punguani
 
Asante studio.
Huyu mama acha akafie mbele, sijawhi kuona mwanamke mweupe namna ile, hata mumewe nahisi anajisikia aibu mbele ya wanaume wenzake kuwa na mke ambaye ni mweupe hivyo, yaani jamaa atakuwa anajihisi uwezo wake wa kutongoza ni mdogo, maana kumtongoza mtu mwenye uwezo finyu namna hiyo inaashiria hukutumia nguvu nyingi sana kumshawishi.
AKAFIE MBELE HUKO.
100% Nakubaliana na Wewe, Na ukitaka kuenjoy upate ugumu wa Kumtogoza ili akipatikana basi ujikunje na Kupinda Mgongo kwa hasira za Kuzungushwa. Huyu mama nadhani ni Maharage ya Mbeya, Maji mara moja tayari kutafunwa.
 
Yani akili zipo papuchini huyu mbunge.Hajielewi kabisa
 
....isingekuwa MIZENGWE kwenye kura za maoni kipindi kile wakati anatafutwa atakaye simama kwa tiketi ya CCM, huyo Mama asingepita.
Ni bora kama kweli wana Nkenge wameisha tambua wapi walipokosea naamini kwa uchaguzi ujao hawatadanganyika tena.
Kagera kwa ujumla maendeleo ya suasua kutokana na ubovu wa viongozi wanaopewa dhamana kushindwa kutimiza wajibu wao.
 
Popompo sana alijua atachaguliwa uwaziri lalasama konyozake
 
Mbunge wa Nkenge 2015 ni bwana Valerian Rugalabamu CHADEMA
 
Back
Top Bottom