Kwaheri Assumpta Mshama - Mbunge wa Nkenge

Kwaheri Assumpta Mshama - Mbunge wa Nkenge

Mbunge wa Nkenge 2015 ni bwana Valerian Rugalabamu CHADEMA
Wale wote ambao ni vilaza ni kuwaletea wagombea wazito mpaka waombe pooo.
Hivi hawawaoni akina Kangi Lugola, Filikunjombe?
Mama mweupe sana yule kichwani.
 
Picha ya nini? kwa uwezo ule alionyesha kwenye mjadala wa ESCROW wewe binafsi angekuita kwenye mkutano wake ungeenda?
Halafu wewe GEOMATICIAN gani wewe mbona unaoneka ni mweupe sana, Mbona sisi tuliosoma GEOINFORMATICS, GEODESY hatuko weupe hivyo?
Siku zote GM, GI & GS tuko vizuri sana
Ha ha haaaaa.....Mkuu najua sie GM, GI & GS huwa tuko vizuri sana tu, Hata mimi nisingeweza kwenda kwenye mkutano wake....I just want a proof beyond doubt
 
Asante studio.
Huyu mama acha akafie mbele, sijawhi kuona mwanamke mweupe namna ile, hata mumewe nahisi anajisikia aibu mbele ya wanaume wenzake kuwa na mke ambaye ni mweupe hivyo, yaani jamaa atakuwa anajihisi uwezo wake wa kutongoza ni mdogo, maana kumtongoza mtu mwenye uwezo finyu namna hiyo inaashiria hukutumia nguvu nyingi sana kumshawishi.
AKAFIE MBELE HUKO.

Mkuu. You made my day......Jamaa atakuwa anajihisi uwezo wake wa kutongoza ni mdogo.......

Hahahahahahaaaaaaaa!!!!!!
 
Huyu mama kichwani ni kama hawa ghasia akili wameweka makalioni
 
Nimemkumbuka huyu mama alivyochangia kwenye hoja ya Tegeta Escrow, ni kilaza haswaa!
 
mungu ni mwema, sakata la escrow account lilimfanya mbunge wa nkenge assumpta mshama kujivua nguo kwa wananchi wake, pamoja na kubomolewa kwa ngome kongwe jimboni humo, lakini pia hata kwa sasa mikutano yake ni kama kliniki za vikongwe, jana nimeshuhudia watu wamekaa, hawafiki 40, meza kubwa tu, na marangi ya kijani.

Mungu ni mwema. Kwa heri assumpta, kwa heri ccm.

mukihudhuria sehemu hizi muwege na kaushahidi angalao ka picha kamoja tukuelewe vizuri. Unatuhesabia mahudhurio tutajuaje kama kweli ni arobaini.... pengine wako wawili tu na wapitanjia waliojipitisha tu hapo. Usiwe kama ndorrrobo::argue:
 
Yeye na bwana wake Julius Mshama wana mang`ombe mengi yake pale Kijiji cha Mtanana upande wa kaskazini mwa barabara iendayo kibaigwa Dar , kwa hiyo hana shida ni nyie tu na njaa zenu.

👎👎👎👎😠😠😠😠
 
....isingekuwa MIZENGWE kwenye kura za maoni kipindi kile wakati anatafutwa atakaye simama kwa tiketi ya CCM, huyo Mama asingepita.
Ni bora kama kweli wana Nkenge wameisha tambua wapi walipokosea naamini kwa uchaguzi ujao hawatadanganyika tena.
Kagera kwa ujumla maendeleo ya suasua kutokana na ubovu wa viongozi wanaopewa dhamana kushindwa kutimiza wajibu wao.

Dc wa kipindi kile alisaidia sana huyu mama kuchukua jimbo.
 
Alafu huyu mama ni mchungaji.. sipati picha hao kondoo anaowaongoza.
 
[video]https://www.youtube.com/results?search_query=asumpta+m shama+mbunge[/video]
 
Mi nawashangaa wapiga kura wa Asumpta sio Asumpta mwenyewe!
 
iwe fundisho kwa wabunge wote wanaokuwa wanatetea maslah ya chama bungeni na kujitoa ufahamu badala ya kutetea maslah ya wananchi
 
Back
Top Bottom