Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,718
- Thread starter
- #41
Tukisema sisi akina mburumatata rukhsa kutubishia, haya sasa msikilize huyuUnàsema yaliyopita si ndwele...kwa vile hakuna wa kwako aliyepigwa risasi, hukazika, hujauguza.... Hopeless!
Huyu nae utambishia kuwa hajafiwa?.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo.
P