Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

Wewe ni Lipumbavu.

Cc Mke wako
Cc Watoto wako
 
Mkuu je unaamini katiba mpya itapatikana katika mazingira ya sasa? Yaani mpya kweli kweli ??
 
Hii aya ndiyo ulipoharibu kaka. Inaonesha kuwa umekuja hapa kufanya damage control trajectory pamoja na kudivert situation ya yanayoendelea kujjri nchini
Kati ya freedom zote, freedom to think ndio freedom pekee ambayo ni absolutely free isiyo na mipaka.
Kama unaamini mimi nimekuja hapa kufanya damage control trajectory pamoja na kudivert attention ya situation ya yanayoendelea kujjri nchini, endelea kuamini hivyo na mimi nayaheshimu mawazo yako.
  1. Ahadi ama matarajio ya Katiba Mpya unayatoa wewe kama nani?
Kuna wengi mnapitwa na mengi!, ahadi ya katiba mpya unadhani ilitolewa na mimi?. Hujui ilitolewa na nani?!
  1. Kwa nini unathibitisha ushindi wa wahaini CCM wakati unaujua ukweli kura hazikupigwa?
Karibu mitaa hii
  1. Kikatiba na kisheria, majeshi yanaingiaje kwenye mchakato wa uchaguzi?
Karibu mitaa hii Makala Elimishi: Kwanini JWTZ Kamwe Haliwezi Kupindua Serikali Tanzania? Ni JWTZ ya Serikali ya CCM, ni JWTZ CCM!
  1. Hii project ya kupaka rangi mzoga unalipwa kiasi gani?
Kama unaamini nalipwa, naomba endelea kuamini hivyo na mimi nayaheshimu mawazo yako.
  1. Tukueleweje Paskali?
Nielewe kwa kiwango cha uelewa wako, wako wanaoniona mimi ni chawa wa mama, wako wasionielewa kabisa, na wako wanaonielewa vema na vizuri kabisa.

Mimi naendelea na huduma yangu kwa jamii bila kujali watu wananieleweje as long as I'm doing the right thing at the right time.
P
 
Hii aya ndiyo ulipoharibu kaka. Inaonesha kuwa umekuja hapa kufanya damage control trajectory pamoja na kudivert situation ya yanayoendelea kujjri nchini
Kati ya freedom zote, freedom to think ndio freedom pekee ambayo ni absolutely free isiyo na mipaka.
Kama unaamini mimi nimekuja hapa kufanya damage control trajectory pamoja na kudivert attention ya situation ya yanayoendelea kujjri nchini, endelea kuamini hivyo na mimi nayaheshimu mawazo yako.
  1. Ahadi ama matarajio ya Katiba Mpya unayatoa wewe kama nani?
Kuna wengi mnapitwa na mengi!, ahadi ya katiba mpya unadhani ilitolewa na mimi?. Hujui ilitolewa na nani?!
  1. Kwa nini unathibitisha ushindi wa CCM wakati unaujua ukweli kura hazikupigwa?
Karibu mitaa hii GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!
  1. Kikatiba na kisheria, majeshi yanaingiaje kwenye mchakato wa uchaguzi?
Karibu mitaa hii Makala Elimishi: Kwanini JWTZ Kamwe Haliwezi Kupindua Serikali Tanzania? Ni JWTZ ya Serikali ya CCM, ni JWTZ CCM!
  1. Hii project ya kupaka rangi mzoga unalipwa kiasi gani?
Kama unaamini nalipwa, naomba endelea kuamini hivyo na mimi nayaheshimu mawazo yako
  1. Tukueleweje Paskali?
Nielewe kwa kiwango cha uelewa wako, wako wanaoniona mimi ni chawa wa mama, wako wasionielewa kabisa, na wako wanaonielewa vema na vizuri kabisa.

Mimi naendelea na huduma yangu kwa jamii bila kujali watu wananieleweje as long as I'm doing the right thing at the right time.

P
 
Hamna yaliyopita ndiyo kwanza imeanza upya. Kwanza kabisa Samia awajibishwe kwa kushiriki Moja kwa Moja kufanya mauaji ya raia tarehe 29 October.
 
Tunamtaka miili ya ndugu mliowauwa tuipate na kuizika.. pia wauaji wote wachukuliwe hatua..

Kwenye uhai wa mtu unasema SI NDWELE?!
ARE YOU NORMAL?! MENTALLY FIT?!
 
Hitqji la sasa siyo katiba pekee.
CCM inapaswa kutathiminiwa ikiwa pembeni

Haiitajiki kwa sasa
 
Hakuna cha yaliyopita si ndwele , hatutasahau na hakuna namna tutakaa meza moja wala kukubali kuambatana na watu wenye damu za watanganyika 10000 mikononi mwao.

Hayo yaliyopita nenda kawaambie familia za akina mzee Kibao, Chaula, Soka ,Dioniz Kipanya, Mdude , Polepole na wahanga wa October 29 uone kama utarudi salama.
 
Hitqji la sasa siyo katiba pekee.
CCM inapaswa kutathiminiwa ikiwa pembeni

Haiitajiki kwa sasa
Hakuna kitu kizuri hapa duniani kama kuukubali ukweli, hata kama unauma, ila ndio ukweli, na hakuna kitu kibaya kama kujifariji kwa uongo, day dreaming, it's very frustrating kuuishi uongo kwa kujifariji.

CCM itathminiwe na nani?, iwekwe pembeni na nani?, na nafasi yake iwe replaced na nani?

Politics is a science, political science, inafuata scientific principles

CCM is a body in motion, ili iondoke, there must be an external force applied to it kuisimamisha ama kuiondoa, hapo ujue CCM sio tuu ni chama cha siasa ni chama dola, ni dola!, kwa katiba hii, hiyo external force ya kuiondoa CCM na kuiweka pembeni ni ipi?

Pia CCM kama chama kinafuata kanuni ya body mass and volume, CCM haiwezi kupisha bila kwanza kupatikana a replacement to replace it itakapotoka, hiyo replacement ni ipi?.

P
 
Tanzania ni mali ya Ccm acha kujitoa ufahamu.
 
Inakuja kweli?
Mkuu KichwaChui, TigerHead , katiba inakuja, mchakato unaanza ndani ya siku 100 za Samia.
Mbona mishangao mingi kwenye mwanzo habari hii?
Wabongo ni watu wa mishangao sana.
Kwa kiburi cha Mtanzania na kwa uwepo wa kazi ya tume,isiwe tu kisingizio cha kukosa kuanza mchakato wa katiba.
No I don't think
Umenena mengi mazuri ya kushauri ila tu viburi wasikuteke ili usiendelee kuwapigia kelele wasizozipenda.
Kiukweli kabisa hali ya Bongo sii salama, hata mimi ni mzalendo wa Polepole type, tunapiga kelele kwa nia njema na dhamira safi kabisa ya kusaidia nchi yetu huku tumejikabidhi kwa Mungu Baba, Mungu akiamua kuachia yanikute ya kunikuta, then hiyo ndio itakuwa siku yangu niliyo andikiwa.
P
 
Katiba mpya Gani inakuja unaakili timamu kweli
Mkuu Muuaji wa Aseno, Arsenal Gunner, heshima ni kitu cha bure, nimesema katiba mpya inakuja, hii maana yake kuna kitu mimi ninakijua kuhusu ujio wa katiba mpya, wewe unapouliza katiba mpya gani inakuja, na unapouliza kama nina akili, ina maana na wewe kuna kitu unakijua kuhusu kutokupatikana kwa katiba mpya,
hivyo wewe ndio unaakili sana na mimi sina akili!.

Ili usionekane unatukana watu kama wana akili kweli, wewe mwenye akili zionyeshe hizo akili zako kwa kukisema unachokijua.

P
 
Tanzania ni mali ya Ccm acha kujitoa ufahamu.
Mkuu Uthibitisho, Proved, hiki ulichokisema, ndio ukweli halisi wa mambo, japo ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.

Kuna kitu kinaitwa "is" yaani kitu kilichopo na "ought" kilichopaswa kiwepo.

Katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977, ni katiba ya CCM ya chama kimoja, na chama ndio the supreme organ kinaongoza serikali. Nchi ni mali ya wananchi, ndio wenye nchi na wenye katiba, halafu juu ya yote ndio kuna CCM.

Hili nimeipigia kelele humu, kwa miaka yangu 19 tangu nilipojiunga JF mwaka 2006.

Nina mabandiko zaidi ya 100 nikilipigia kelele jambo hili,Haki, Haki, Haki! Serikali, Bunge na Mahakama hazina uwezo wala mamlaka ya kupora haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Je, jicho ona litaliona hili?

Kila ninapopata fursa najitshidi kulipigia kelele.
View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=8EEhNkNVlONuph1b

View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=ky_DyqMycv_SBH7I

View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=fbeeEcbqtBYjuyrJ
Mwaka huu ujao, linatamatishwa kwa katiba mpya.

P
 
Wanabodi,
Ukiandika kushauri kitu, halafu akatokea mtu kukisema hicho ulichoshauri, kisha kiongozi mkubwa akakisema na kuukubali ushauri huo, kuna ubaya mtu ukijifagilia ushauri wangu umefuatwa hata kama huyo aliyelisea hilo jambo, na yeye alisema kutokea moyoni mwake na sio kutokana na kusoma makala yako, lakini kwa vile niliandika
rais wangu wa r ndogo wa chama chetu cha Mawakili Tanzania, TLS, Wakili Boniface Mwambukusi akalisemea hili, na Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi akaliunga mkono kwa asilimia 100%
Naunga mkono hoja, hili na mimi nilishauri humu katika uzi huu, hivyo nina haki ya kujipongeza.

P
 
Katiba mpya Gani inakuja unaakili timamu kweli
Mimi kama binadamu, naweza kabisa nisiwe na akili timamu, lakini kwa vile hoja ya katiba mpya iko kwenye Dira ya Taifa, iko kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM, na Rais Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge jipya, alisema mchakato kuanza ndani ya siku 100 za kwanza, asiyeiamini Dira ya Taifa, Ilani ya uchaguzi ya CCM na Rais Samia, ndiye atakuwa hana akili kweli!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…