Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,668
- 30,556
Niliwahi kuleta hapa miaka miwilu post ikiwa na copy ya tourist VISA kipindi dk. JK yuko madarakani.
Lengo ni kuuliza kwanini tourist visa iliandikwa valid for Rwanda na Uganda na Kenya. Wapowaliofwatilia wakaziona,Mzungu anapewa tourist VISA aingie Rwanda Kenya ama Uganda akiwa kwao UK.
Swali kwanini waliitenga Tanzania?
Nakwanini waliandika EAC VISA Ama Tz atukuwa part ya EAC.
Leo nakuja nayanayoendelea boda za Kenya na Uganda.
Leoo hii ukitoka Uganda kwenda Tanzania unaingia jengo moja la Uganda huko una stamp wa Kenya anatoka na kustamp wa uganda. Mnaelekea kwenu.
Swali langu; Kwanini na wakenya wasije kwenye jengo letu ilikurahisisha watu kwenda kule kwao na pia immigration wetu wakakae kwenye jengo lao wanaokuja to Tz wastamp Kenya wastamp dirisha la pili Tz wakiingia kwagari baada ya custom procedure iwe home moja kwa moja.
Swala lingine matumizi ya ID.
Wasiojua mkenya anaingia Uganda na Rwanda kwa ID ahitaji popote walavisa. Hata sio boda tu nenda ebb Airport imeandikwa wazi kabisa. Swala la kujiuliza kama hawa jama wanaingia kwa ID.
Kwanini sisi Tanzania tusiingie huoo mfumo pia ama atuko EAC. Mh rais ilemikataba yaoo ichungulie sana mapema sana kusaini hawajamaa sio na nia nzuri kabisa.
Ukiona kwenye VISA wametutenga.ID wametutenga.
Majengo ya immigration wanatumia ofisi moja nako wametutenga.Tujiongeze na Mungu akupe ufumbuzi kwahili baba yetu Rais Magufuli.