Kwa yanayoendelea EAC: Rais Magufuli awe makini na hawa jamaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148

Niliwahi kuleta hapa miaka miwilu post ikiwa na copy ya tourist VISA kipindi dk. JK yuko madarakani.

Lengo ni kuuliza kwanini tourist visa iliandikwa valid for Rwanda na Uganda na Kenya. Wapowaliofwatilia wakaziona,Mzungu anapewa tourist VISA aingie Rwanda Kenya ama Uganda akiwa kwao UK.

Swali kwanini waliitenga Tanzania?

Nakwanini waliandika EAC VISA Ama Tz atukuwa part ya EAC.

Leo nakuja nayanayoendelea boda za Kenya na Uganda.

Leoo hii ukitoka Uganda kwenda Tanzania unaingia jengo moja la Uganda huko una stamp wa Kenya anatoka na kustamp wa uganda. Mnaelekea kwenu.

Swali langu; Kwanini na wakenya wasije kwenye jengo letu ilikurahisisha watu kwenda kule kwao na pia immigration wetu wakakae kwenye jengo lao wanaokuja to Tz wastamp Kenya wastamp dirisha la pili Tz wakiingia kwagari baada ya custom procedure iwe home moja kwa moja.

Swala lingine matumizi ya ID.

Wasiojua mkenya anaingia Uganda na Rwanda kwa ID ahitaji popote walavisa. Hata sio boda tu nenda ebb Airport imeandikwa wazi kabisa. Swala la kujiuliza kama hawa jama wanaingia kwa ID.

Kwanini sisi Tanzania tusiingie huoo mfumo pia ama atuko EAC. Mh rais ilemikataba yaoo ichungulie sana mapema sana kusaini hawajamaa sio na nia nzuri kabisa.

Ukiona kwenye VISA wametutenga.ID wametutenga.

Majengo ya immigration wanatumia ofisi moja nako wametutenga.Tujiongeze na Mungu akupe ufumbuzi kwahili baba yetu Rais Magufuli.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Jk alikataa hiyo visa akidai tukijiunga tutanyonwa sana eti tuko potential kuliko wao, kuhusu hiyo ya kutumia id pia bongo hatukuwa tayari kwa mfumo huo vitambulisho jamaa wa nida walifanya yao!
 
Mkuu usiome wakokimya ukafikiri ni wajinga sana au ukafikiri hayo unayoyaona wewe wao hawayaoni la hasha...kuna vitu vingine siyo vya kukimbilia kiasi hicho hasa aina ya watu wa nchi wanazotuzunguka
 
Mkuu ungeandika kwa herufi ndogo panapostahili na kubwa panapostahili,nadhan ingekuwa rahisi kusomeka na kueleweka.Any way mawazo mazuri ila......!
 
Mkuu ungeandika kwa herufi ndogo panapostahili na kubwa panapostahili,nadhan ingekuwa rahisi kusomeka na kueleweka.Any way mawazo mazuri ila......!

Mkuunikiandikaaamandishiimadogoo unawezahisi naandikakiarabu Latasha...
 
Hili siyo la kukimbilia sana kwanza tujipange unaweza ukaingia halafu ikala kwako kama kipindi cha nyerere
 
Mkuu ungeandika kwa herufi ndogo panapostahili na kubwa panapostahili,nadhan ingekuwa rahisi kusomeka na kueleweka.Any way mawazo mazuri ila......!
ww huyo anaitwa mpwa gr8 man in town., kufahamu vzr uwe na jcho la3!?
 
Hili siyo la kukimbilia sana kwanza tujipange unaweza ukaingia halafu ikala kwako kama kipindi cha nyerere

Jk alikataa hiyo visa akidai tukijiunga tutanyonwa sana eti tuko potential kuliko wao, kuhusu hiyo ya kutumia id pia bongo hatukuwa tayari kwa mfumo huo vitambulisho jamaa wa nida walifanya yao!
JK anaogopa Tanzania kunyonywa na Uganda,Rwanda na Kenya lakini anaona sawa kuvinyonya visiwa vya Zanzibar? Hii ni Double standard
 
mitanzania mikwamishaji sana. inaogopa kunyonywa lakini yenyewe haitoi mapendekezo ili na yenyewe yanyonye.
 
Hoja yako ni nzuri sana lakini bado ndani Tuko zigizaga hata hizo ID kadi wenyewe ndiye NIDA wakatutenda.

Ngoja nyumba isafishwe iwe sawa kwanza huko tutafika fika halafu sisi kwetu ni more potential wengi wanatamani kuishi hakuna bugudha.
 
Mleta mada. Kifupi ni kwamba hawajatutenga. Sisi ndio tumeyakataa. Na kama tungeyakubali hasa hayo ya kuingia kwa mwenzio kama chooni kwako sijui ni watanzania wangapi wangeenda nchi hizo kwa sasa. Lakini najua wakazi wa nchi hizo wangehamia Tz.

Kuhusu jengo au ofisi moja ya mpakani. Hata sisi tunazo za namna hiyo pale Namanga na Rusumo. Zingine zinaendelea kujengwa.
 
Back
Top Bottom