Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
Maisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tu, kila mtu ana changamoto yake.
Changamoto yangu mimi ni wife akitoka na gari. Huwa roho inaniuma hadi atakapokuwa amerudi nyumbani salama.
Maana huwa nakuwa standby kusubiri simu kuwa kapata majanga au laaah
Yaani huo muda huwa nakuwa siwezi kufanya kitu, huwa nakuwa karibu na simu zangu mbili.
Na kama kaondoka na dada wa kazi na mtoto hapo ndo huwa nalia kabisa. Roho haitulii kabisa.
Nawaza kama watarudi salama au laah hasa nikizingatia mabodaboda yalivyo mengi na uendeshaji wa ovyo, malori makubwa na changamoto nyingine za barabarani.
Kumkoma nyani geradi