Kwa wenye "WAKE" wanao drive

Kwa wenye "WAKE" wanao drive

Kweli mzee baba nakuelewa
Cha msingi ni kuhakikisha competency yake akiendesha iko poa, gari liko vzr idara zote na mwisho Unamuachia Mungu amlinde akiwa roadini, kwa maisha haya kila mahali utaenda wewe ? au umuajirie dreva wa kukumuendesha, cost implication sasa!

Kumkoma nyani geradi
 
Mi huwa napata sana wasiwasi lakini sema ukweli wanawake wanaendesha vizuri ,wanazingatia alama za barabarani na spidi ya kawaida au polepole
Nakua sina wasiwasi kwenye gari nikiwa naendeshwa na mwanamke kuliko mwanaume.. Hawa viumbe wapo makini barabarani sijawah kuona, ni mara chache sana mwanamke kupata ajali za kizembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina mtumishi
Bwana asipoulinda mji, walindao wakesha bure.
Hofu na wasiwasi wako havisaidii kuepusha chochote zaidi ya kukuletea shida kisaikolojia.

Sawa na awali nilikua nikipanda ndege nahofia itapata ajali kiasi kwamba nakosa raha ya safari, kuna siku nikasema ikiwa ajali itatokea, hofu yangu haisaidii chochote kuizuia.

Kama hua anarudi salama, sio hofu yako au kilio chako kinawaepusha na ajali.

Kumkoma nyani geradi
 
Mkuu wewe ulimfundisha hiyo gari?

Au alisomea chuo ambacho hakina walimu wazuri?.

Baadhi ya wanawake ni madereva wazuri sana wakipata mtu sahihi wa kumfundisha gari huwa wako makini na ukijumlisha na uoga wao basi wanakuwa wako wapo na asilimia chache za kupata ajali za mara kwa mara.

Wengi mtalipinga hili ila ukweli sisi wanume kwa sababu ya kujiamini sana huwa tunapata ajali sababu ya kupuuza baadhi ya vitu.

Wapo wanawake wengi tu uoga wao wanakuwa wazito kufanya maamuzi sahihi barabarani na hii ndio utofauti na wanaume na baadhi ya madereva wanawake.
 
Hii paragraph ya misho imefuta yote uliyoandika hapo juu
Mkuu wewe ulimfundisha hiyo gari?

Au alisomea chuo ambacho hakina walimu wazuri?.

Baadhi ya wanawake ni madereva wazuri sana wakipata mtu sahihi wa kumfundisha gari huwa wako makini na ukijumlisha na uoga wao basi wanakuwa wako wapo na asilimia chache za kupata ajali za mara kwa mara.

Wengi mtalipinga hili ila ukweli sisi wanume kwa sababu ya kujiamini sana huwa tunapata ajali sababu ya kupuuza baadhi ya vitu.

Wapo wanawake wengi tu uoga wao wanakuwa wazito kufanya maamuzi sahihi barabarani na hii ndio utofauti na wanaume na baadhi ya madereva.

Kumkoma nyani geradi
 
Jamaa umenishangaza sana,badala uhofie mkeo akikaa kwenye kiti cha gari mapaja yatakuwa wazi watu watayaona wewe unahofia mkeo kupata ajali
 
Umenikumbusha ajali ya gari yule dada akiwa na mwanae mdogo anaingia sasa barabara kubwa hii ya bagamoyo pale maeneo ya boko nadhani akitokea mbweni wakapigwa na lorry la mchanga
Pili yule Dada aliyezama na binti yake mdogo ferry ya Likoni Mombasa mwaka jana nadhani ndani ya gari yao ndogo
Mambo haya huniuma sana kila nikikumbuka matukio hayo na huenda nisisahau kamwe
 
Mzima lakini?

Mbona nionavyo mimi wanawake tunaendesha vizuri zaidi kuliko nyie, kama si mwoga na anayejiamini. Women are best drivers.

Sasa Kama mkeo anaendesha kila siku kwenda job si unaishi kwa mashaka sana?
 
Mkuu wewe ulimfundisha hiyo gari?

Au alisomea chuo ambacho hakina walimu wazuri?.

Baadhi ya wanawake ni madereva wazuri sana wakipata mtu sahihi wa kumfundisha gari huwa wako makini na ukijumlisha na uoga wao basi wanakuwa wako wapo na asilimia chache za kupata ajali za mara kwa mara.

Wengi mtalipinga hili ila ukweli sisi wanume kwa sababu ya kujiamini sana huwa tunapata ajali sababu ya kupuuza baadhi ya vitu.

Wapo wanawake wengi tu uoga wao wanakuwa wazito kufanya maamuzi sahihi barabarani na hii ndio utofauti na wanaume na baadhi ya madereva wanawake.

Uko sahihi sana.
 
Maisha yana changamoto nyingi sana. Changamoto sio kukosa mlo tuu, kila mtu ana changamoto yake.

Changamoto yangu mimi ni wife akitoka na gari. Huwa roho inaniuma hadi atakapokuwa amerudi nyumbani salama.

Maana huwa nakuwa standby kusubiri simu kuwa kapata majanga au laaah

Yani huo muda huwa nakuwa siwezi kufanya kitu, huwa nakuwa karibu na simu zangu mbili.

Na kama kaondoka na dada wa kazi na mtoto hapo ndo huwa nalia kabisa. Roho haitulii kabisa.

Nawaza kama watarud salama au laah hasa nikizingatia mabodaboda yalivyo mengi na uendeshaji wa ovyo, maroli makubwa na changamoto nyingine za barabarani.

Kumkoma nyani geradi
Kuwa na mchepuko mzee au nguvu huna?
 
Nilivoanza kusoma huu uzi tu nikajijua tu ndo zilezile story za kutungwa
Haya hongera kwa kuwa na gari na simu mbili
 
Mkuu wachache sana watakuelewa how u feel...lkn me pia hupata the same feelings pindi wife anapotoka na gari! wanawake hata aendeshe miaka 20, lkn bado atakuwa hajiamini barabarani, ni wanawake wachache sana ambao wako competent barabarani.....alafu hakuna kitu kinasababisha ajali Kama kutokuangalia side mirrors Mara kwa Mara, na kuhakikisha kuwa pemebeni yako au nyuma hakuna hatari.

Back
Top Bottom