pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 651
habari wanajamvi.
naombeni ushauri kuhusu kuoa mwanamke mnywaji wa pombe.
mimi nimekulia pombe toka utoto lakini nilipfikia miaka kama 14 niliacha mpaka sasa niko zaidi ya 28.
nimekuwa na bahati sijui nzuri au mbaya. wale ninaolenga nikiwauliza hili swali unakuta anakunywa kama sio bia basi ni mvinyo.
kwa mtazamo wangu unywaji ni unywaji uwe wa mvinyo au bia au kibuku au mbege. mvinyo huwa naona kilevi zaidi maana huwa ya chii kabisa ni asilimia 12 alcohol
naomba ushauri kwa wenye uzoefu kuishi na mwanamke mnywaji. mimi naogopo kunywa kabisa maana tunashida ya alchol addcition hasa kwa upande wa ndugu zangu. naogopa kabisa kuonja maana najua ndio nilikotokea, nikianza tena naweza nikawa mlevi kabisa
sijawai kuonja toka niache miaka hiyo.
naombeni ushauri wenu kwa ajili yangu na kwa ajili ya wengine ambao wanakumbana shida hii kama mimi
natanguliza shukrani kwa yoyote atakayechangia au hata kusahihisha ili ujumbe ufike vizuri