Njoo Ihumwa karibu na mji wa serikal nusu eka unapata bei milion hizooo 13 yaan 35 kwa 35 umeme upoUshmen nakutafuta Jumamosi Ijayo tufanye biashara kaka.
Nifahamishe bei ya viwanja ihumwa boss wangu.Njoo Ihumwa karibu na mji wa serikal nusu eka unapata bei milion hizooo 13 yaan 35 kwa 35 umeme upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee namba ya simu mkuuNjoo Ihumwa karibu na mji wa serikal nusu eka unapata bei milion hizooo 13 yaan 35 kwa 35 umeme upo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihumwa utapata kiwanja cha ukubwa wa hekari moja (75×75 meters) kwa bei isiyo zidi milioni nane (8,000,000)Nifahamishe bei ya viwanja ihumwa boss wangu.
Ihumwa utapata kiwanja cha ukubwa wa hekari moja (75×75 meters) kwa bei isiyo zidi milioni nane (8,000,000)Tuwekee namba ya simu mkuu
Hii bei imechangamka kwangu mimi nina milioni 2 tu bajeti ya kununua kiwanja cha 20*20 chenye hati safi iliyo kamilika mjini dodoma unless otherwise acha niishi huku mbezi maramba mawili, nimalizie ujenzi wa house yangu ya vyumba vitatu.Ihumwa utapata kiwanja cha ukubwa wa hekari moja (75×75 meters) kwa bei isiyo zidi milioni nane (8,000,000)
Karibu tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624, na nitakukutanisha na wamiliki wa viwanja ili mfanye mazungumzo.
Karibu tena mkuuHii bei imechangamka kwangu mimi nina milioni 2 tu bajeti ya kununua kiwanja cha 20*20 chenye hati safi iliyo kamilika mjini dodoma unless otherwise acha niishi huku mbezi maramba mawili, nimalizie ujenzi wa house yangu ya vyumba vitatu.
Naomba nikuelekeze kama ifuatavyo....Shamba heka 1 mpaka 5 unaweza pata kwa bei gani nje kidogo ya dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeeleza mubashara kabisa japo njia ya iringa road mkonze hakika kule hakujawa sana na soko.Naomba nikuelekeze kama ifuatavyo....
1- Zuzu ni njia ya kuelekea kwa Mizengo Pinda, na pana umbali wa kuanzia kilometres 7-9 kutoka Dodoma mjini. Njia ya kwenda Zuzu haina lami na barabara kidogo ni korofi.
Unaweza ukapata eneo la kuanzia hekari moja (70×70 meters) kwa shilingi kuanzia milioni moja na laki tano (1,500,000).
2- Mtumba ipo barabara ya kuelekea/kutoka Darisalama, na pana umbali wa kuanzia kilometres 19-26 kutoka Dodoma mjini.
Mtumba unaweza ukapata eneo la kuanzia hekari moja (70×70 meters) kwa shilingi kuanzia milioni tatu na nusu (3,500,000)
3- Nala ipo barabara ya kuelekea/kutoka Singida na pana umbali wa kuanzia kilometres 9-15 kutoka Dodoma mjini.
Nala unaweza ukapata eneo la kuanzia hekari moja (70×70 meters) kwa shilingi kuanzia milioni tatu (3,000,000)
Hizo bei ni kwa mujibu wa uzowefu wangu tangu nilipo anza hii kazi rasmi.
Lakini pia hizo bei zinaweza zikapanda ama kushuka kidogo na inategemea na mazungumzo ambayo wewe mnunuaji utayafanya na mmiliki wa shamba ama kiwanja.
Mkuu Karibu Dodoma
Sim/whatsap namba yangu ni 0758383624.
Asante sana mkuu.Mkuu umeeleza mubashara kabisa japo njia ya iringa road mkonze hakika kule hakujawa sana na soko.
Hii sababu ningeomba uniandikie pm nisije ingia mkenge.Asante sana mkuu.
Nimeshindwa kuelezea/kuandika kuhusu viwanja vya njia ya Iringa, kwasababu ambazo sinto penda kuziandika hapa kwakua sio rasmi.
Karibu sana mkuu....[emoji5] [emoji5]
Mkuu, moja ya sababu kubwa kabisa ni.....Hii sababu ningeomba uniandikie pm nisije ingia mkenge.
Sawa kabisa nakule pia hakujapimwa badoMkuu, moja ya sababu kubwa kabisa ni.....
Siwezi mpeleka mteja akanunue kiwanja kwenye maeneo ama eneo ambalo silijui.
Moja kati ya mambo ambayo nilazima niyafahamu kabla ya kumpeleka mteja kwenye kiwanja ama eneo husika ni, lazima ata kidogo niijue historia ya eneo ninalo mpeleka mteja
Inaelekea Serikali inauza Viwanja Ihumwa kwa gharama kubwa kuliko wewe? Nimeona viwanja vinavyouzwa na Manispaa wanauza squaremeter 1700 kwa milion 8, wewe unauza 75 kwa 75 kwa milion 8?.Ihumwa utapata kiwanja cha ukubwa wa hekari moja (75×75 meters) kwa bei isiyo zidi milioni nane (8,000,000)
Karibu tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624, na nitakukutanisha na wamiliki wa viwanja ili mfanye mazungumzo.