Mkuu siwezi kuapata kiwanja maeneo ya nzuguni kwa bei ya milioni mbili na nusuHabari wakuu..!!
Hii ni habari njema kwa wale wote wageni na wenyeji wenye uhitaji wa viwanja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Kinacho fanyika ni, mimi ninakutafutia kiwanja ama shamba ndani ya mkoa wa Dodoma. Kisha nitakukutanisha na mmiliki wa eneo husika na mtafanya mazungumzo ninyi wawili kuhusiana na bei.
Baada ya makubaliano yenu, mimi malipo yangu itakua ni asilimia kumi (10%) ya malipo mtakayo kubaliana.
Kwa wenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0758383624 sim ama whatsap.
Nzuguni unapataMkuu siwezi kuapata kiwanja maeneo ya nzuguni kwa bei ya milioni mbili na nusu
Msalimie TembaKinauzwa kiwanja chenye ukubwa wa 1900 mita za mraba.
Kiwanja kipo umbali wa mita 500 kabla ya kufika chuo cha mipango, kama unatokea Dodoma mjini.
Kiwanja kimepimwa na kina hati.
Kiwanja ni chatatu kutoka barabara ya kuu ya kwenda/kutoka Arusha.
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni nane (8,000,000).
Umeme na maji vyote vipi karibu na huduma zote za jamii zinapatikana karibu.
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa shamba na mfanye mazungumzo.
Asante na karibuni Dodoma
Hekari 15 hadi 20 unaweza ukapata maeneo ya Mtumba.Naweza pata hekali 15-20 za kiwanja kilichopimwa?. Eneo liwe mitumba au nje kidogo ya jiji, njia ya dar-dom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hekari 15 hadi 20 unaweza ukapata maeneo ya Mtumba.
Lakini eneo hilo halija pimwa mkuu.
Nashukuru mkuu.Uzowefu wangu, kupata eneo lenye ukubwa wa kila hekari moja kule Mtumba, inagharimu walau kuanzia milioni mbili (2,000,000) fedha ya kiTanzania.
Ili nikuhudumie, karibu tuwasiliane kwa namba hii 0758383624.