FRAME 08 + ENEO LA BIASHARA LINAUZWA DODOMA.
MAHALI: Michese-Iringa road(Nyuma ya usalama wa taifa). -Eneo liko opposite na kibao cha shule ya msingi michese(utaona kwenye picha)
UMBALI: Kilomita 6 tu toka katikati ya jiji-Dodoma
UKUBWA: Square metres 1008
FRAME ZA BIASHARA: Kina frame 08 na bado eneo limebaki kubwa.
HUDUMA ZA KIJAMII: Maji,umeme viko jirani.
BARABARA: Ni eneo la kwanza toka barabara kuu inayokuja kuwekwa lami hivi karibuni iendayo michese ambayo tayari imeshapimwa.
KUPIMWA: Eneo tayari limekwishapimwa linasubiri hati tu (Tafadhali tazama mchoro kwenye picha).
FURSA ZILIZOPO:
Eneo lilipo ni kituo cha daladala za michese-panaitwa kibao cha shule. Daladala husimamama hapo kushusha/kupanda abiria!! Hiki ni kigezo muhimu na kikubwa sana hasa katika kutambulisha na kukuza biashara yako kwa haraka. Barabara inakuja kuwekwa lami siku si nyingi hivyo ni fursa kubwa sana kibiashara.
Biashara kama vile hotel, mavazi, pub/bar, hardware, mbao, tofauli zinaweza toka kwa urahisi zaidi kwani maeneo ya jirani(kinyambwa extesion, miganga, chidachi) yanakua kwa kasi sana. Utaona kwenye picha, Huduma kama vile kituo cha afya, duka la dawa, bar&lodge, migahawa ni chache sana.
MALIPO
Unaweza lipa cash au kwa awamu MALIPO YA CASH:
Bei ya eneo lote+frame zake ni Milioni kumi (10,000,000).
MALIPO YA AWAMU: Milioni kumu na mbili (12,000,000) ambayo italipwa ndani ya miezi mitatu, yaani milioni 04 kila mwezi.
Kwa mwenye uhitaji karibu tuwasiliane kwa sim/Whatsapp 0758383624, nikukutanishe na mmiliki wa kiwanja ili mfanye mazungumzo.