Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Mbona hatuoni unapost matangazo ya viwanja? Post yako ya mwisho ya kiwanja ilikuwa April 2019, miezi 6 nyuma. Weka taarifa hapa jamvini kama una mashamba. Biashara matangazo
Mkuu, biashara ni sayansi...
Pia kutokana na changamoto za biashara hii, nilijikuta naamua kuto post kama ulivyo ahinisha hapo juu, na badala yake niliweka mawasiliano yangu wazi kabisa na nimekuwa napokea sim nyingi kutoka kwa wenye uhitaji.
Kwakifupi bado ninaendelea kuifanya hii biashara na inaniingizia mtonyo si haba.
 
Kinauzwa kiwanja chenye ukubwa wa 70×70 meters. Kiwanja hakija pimwa, na kimepakana na Shule ya msingi ya Nala. Kiwanja kipo eneo la Nala umbali wa 14 kilometers kutoka Dodoma mjini. Kiwanja kipo umbali wa 1 kilometer kutokea barabara kuu ya kwenda/kutoka Singida/Mwanza.
Bei ya kiwanja ni 3,500,000/=
Wasiliana nami kwa 0758383624 Call/whatsap, nami nitakukutanisha na mmiliki wa kiwanja kwa mazungumzo zaidi.
Karibuni sana Dodoma
 
Karibuni wakuu, kwa wenye uhitaji wa viwanja/mashamba jijini Dodoma.
 
Nipatie location ambazo una viwanja boss... Then tulonge
Kwasasa nina viwanja vitatu Nala maeneo tofauti tofauti, na viwili vina ukubwa wa hekari moja moja na kimoja kina ukubwa wa hekari mbili.
Vile vya hekari moja moja vina uzwa kwa shilingi milioni tatu na nusu (3,500,00) kila kimoja.
Kile kimoja cha hekari mbili kinauzwa kwa shilingi milioni sita (6,000,000)
Kwa maelezo na maelekezo zaidi, wasiliana nami kwa 0758483824.
Karibu sana mkuu.
 
Kiwanja chenye ukubwa wa 50×60 meters, kiwanja kipo Nala umbali wa kilometers 14 kutoka Dodoma mjini, na kipo umbali wa 1.5 kilometer kutoka main road kuelekea chuo cha DECCA.
Kiwanja bado hakina hati, kipo mkabala na chuo kipya cha VETA.
Umeme upo karibu kwenye nyumba ya jirani.
Bei ya kiwanja ni 5,000,000/=
Kwa mwenye uhitaji, tuwasiliane kwa call/WhatsApp 0758383624 ili nikukutanishe na mmiliki mfanye mazungumzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza kiwanja eneo la Nala Dodoma..kiwanja ni kwaajili ya shule (Nursery)..kiwanja kimepimwa plot No 814..kina ukubwa wa square meter 2786..kwa bei na mawasiliano pls watsp 0755322896
 
Nauza kiwanja eneo la Nala Dodoma..kiwanja ni kwaajili ya shule (Nursery)..kiwanja kimepimwa plot No 814..kina ukubwa wa square meter 2786..kwa bei na mawasiliano pls watsp 0755322896
Mwenye Uzi huu Ushmen huwa anaweka na Bei humu wewe umeibuka na matangazo mufilisi ...weka Bei humu acha janja2
 
Natafuta kiwanja maeneo ya
Camp D/kikuyu, iringa road maeneo ya karibu na Area C/D au karibu na main road ya Mjini kuja Kikuyu...

Any time tuwasiliane nije nikione...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau,
Kwa wale walio na ufahamu ,uzoefu na upana wa mpango wa Mji wa Dodoma ya leo na ya kesho naomba mnishauri kama ni sahihi kuwekeza katika ardhi kwa kununua kiwanja kilichoainishwa kwa matumizi ya Makazi & biashara kule NALA Dodoma.

Nitafurahi kama unaweza kunipa sababu za ushauri wako.

Note: Nimeambiwa maeneo hayo ya NALA (14km from City Cetre) kunatarajiwa kujengwa Campus za Universities kama IFM and St. John

Ubarikiwe kwa ushauri wako.

Ahsante
 
Nauza kiwanja eneo la Nala Dodoma..kiwanja ni kwaajili ya shule (Nursery)..kiwanja kimepimwa plot No 814..kina ukubwa wa square meter 2786..kwa bei na mawasiliano pls watsp 0755322896
Mkuu, kiwanja kipo umbali wa kilometers ngapi kutoka Dodoma mjini..??
Na kina umbali gani kutoka barabara kuu ya kwenda Singida..??
Ni sifa zipi za kiwanja hicho hadi ukipe sifa ya kwamba ni kwaajili ya shile..??
Je kimepimwa kwa utambuzi ama kina hati tayari..??
Kwanini haujaweka na bei..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau,
Kwa wale walio na ufahamu ,uzoefu na upana wa mpango wa Mji wa Dodoma ya leo na ya kesho naomba mnishauri kama ni sahihi kuwekeza katika ardhi kwa kununua kiwanja kilichoainishwa kwa matumizi ya Makazi & biashara kule NALA Dodoma.

Nitafurahi kama unaweza kunipa sababu za ushauri wako.

Note: Nimeambiwa maeneo hayo ya NALA (14km from City Cetre) kunatarajiwa kujengwa Campus za Universities kama IFM and St. John

Ubarikiwe kwa ushauri wako.

Ahsante
Mkuu, Nala ndio sehem pekee kwa sasa ambapo unaweza ukapata viwanja vya ukubwa wa kuanzia hekari moja/mbili/tatu nilivyo ungana.
Kwa sasa unaweza ukapata viwanja kuanzia umbali wa kilometers 15/17 kutoka katikati ya mji wa Dodoma.
Nikweli kama unalengo/nia ya kuwekeza kwenye ardhi, Nala bado ibafaa kwa sababu bado haija banana na bado wenyeji wanamiliki maeneno makubwa.
Kwa upande wa vyuo, tayari Nala pamejengwa chuo kikubwa cha mambo ya afya (DECCA), VETA pia tayari wamejenga chuo pale ambacho ni kikubwa zaidi, na St Jon naona wamenunua eneno kubwa sana pale Nala kwaajili ya kujenga chuo. Pia Nala limetengwa eneo tayari ambapo itajengea stendi kubwa ambayo ndio itahudumia mabasi yote yanayotoka Kigoma, Kagera, Mara, Mwanza, Tabora, Shinyanga, Singida na mikoa yote ya kanda za huko.... Na pia Nala ndipo patakuwa makutano ya Ring road mpya inayo jengwa na awamu hii. Na mimi binafsi pia nimenunua eneo pale Nala na tayari nilisha anza ujenzi mkuu.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nami kwa 0758383624 na nitakuunfanisha na wenyeji/wamiliki wa maeneo ili upate kiwanja.
Karibu sana Dodoma
 
Nahitaji kiwanja mkabala na mji wa serikali lakini kipakane na barabara kuu ya Dar
Ihumwa na Mtumba ndipo maeneo yaliyo karibu na mji wa serikali.
Huko kwa sasa sina kiwanja kilichopo sokoni.
 
Ushimen njoo ujibu maswali kwenye huu uzi wako. Viwanja vya kuanzia hekari moja vilivyo karibu na barabara kuu na jirani na huduma muhimu za kijamii, bado vinapatikana huko Nala? Jiandae kupokea simu yangu ndani ya hii miezi michache ijayo.
 
Back
Top Bottom