Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Viwanja vipo vingi tu mkuu, na sio vimebaki.
Kuna viwanja Michese, Mtumba, Ihumwa, Nala
Nahitaji huku ambako kumeishajengeka kwa bei Rafiki ukipata nistue mkuu
nataka niweke vyumba viwili niondokane na adha za kupanga
 
Nahitaji huku ambako kumeishajengeka kwa bei Rafiki ukipata nistue mkuu
nataka niweke vyumba viwili niondokane na adha za kupanga
Mkuu, ili nikupe maelezo ya kutosha naomba tuwasiliane kwa 0758383624.
Viwanja vipo vingi na maeneo mengi tu utapata karibu na palipo jengeka na pia umeme/maji vipo karibu.
Pia sina uhakika wa bei rafiki unayo hitaji wewe ni kiasi gani?
Na sina uhakika wapi specifically ungependa upate kiwanja chief....
 
Nitakuja inbox mkuu
 
Mkuu, nilicho jifunza hapa Dodoma ni kwamba...... usipo kuwa makini lazima utapigwa tu, tena for the name called jiji.
Ndiomaana mimi niliweka wazi kwamba, aina yangu ya biashara ni kumkutanisha muuzaji na mnunuaji, na baada ya makubaliano yao wao basi mimi nilipwe 10% kama ujira wangu.

Sasa ukishamkutanisha wewe huzungukwi kweli hapo?
 
Mwenye uhitaji wa eneo/shamba linauzwa huko Zuzu jia ya kunaelekea kwa Mizengo Pinda...
Shamba lina ukubwa wa hekari moja (75×70), na lipo umbali wa 10 kilometres kutoka Dodoma mjini.
Shamba hilo linauzwa kwa bei ya 2,000,000/= fedha halali za kitanzania.
Kwa wenye uhitaji, tafadhali wasiliana nami kwa kupiga namba 0758383624 na Whatsapp ninapatikana pia.
Limepimwa?
 
Back
Top Bottom