Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma.


Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Habari wakuu..!!
Hii ni habari njema kwa wale wote wageni na wenyeji wenye uhitaji wa viwanja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Kinacho fanyika ni, mimi ninakutafutia kiwanja ama shamba ndani ya mkoa wa Dodoma. Kisha nitakukutanisha na mmiliki wa eneo husika na mtafanya mazungumzo ninyi wawili kuhusiana na bei.
Baada ya makubaliano yenu, mimi malipo yangu itakua ni asilimia kumi (10%) ya malipo mtakayo kubaliana.
Kwa wenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0758383624 sim ama whatsap.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari moja (75×75 meters). Shamba lipo umbali wa meters 200 kutoka barabara kuu ya kuelekea/kutokea Dar.
Shamba lipo eneo linaloitwa Mtumba, pana umbali wa kilometres 15 kutoka Dodoma mjini.
Shamba linauzwa kwa bei ya 3,500,000/=
Kwa mawasiliano WhatsApp / Call 0758383624, ili nikukutanishe na mwenye eneo/shamba
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari 1 (75×70). Shamba lipo eneo la Ihumwa umbali wa 12 kilometers kutoka Dodoma mjini. Shamba lipo umbali wa 1 kilometer kutokea barabara ya kwenda/kutoka Dar.
Bei ya shamba ni 5,000,000/=
Wasiliana nami kwa 0758383624 Call/whatsap, nami nitakukutanisha na mmiliki wa shamba
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari 1 (75×70). Shamba lipo eneo la Nala umbali wa 10 kilometers kutoka Dodoma mjini. Shamba lipo umbali wa 1 kilometer kutokea barabara ya kwenda/kutoka Singida/Mwanza.
Bei ya shamba ni 3,000,000/=
Wasiliana nami kwa 0758383624 Call/whatsap, nami nitakukutanisha na mmiliki wa shamba.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Mwenye uhitaji wa eneo/shamba linauzwa huko Zuzu jia ya kunaelekea kwa Mizengo Pinda...
Shamba lina ukubwa wa hekari moja (75×70), na lipo umbali wa 10 kilometres kutoka Dodoma mjini.
Shamba hilo linauzwa kwa bei ya 2,000,000/= fedha halali za kitanzania.
Kwa wenye uhitaji, tafadhali wasiliana nami kwa kupiga namba 0758383624 na Whatsapp ninapatikana pia.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari mbili (150×150 meters). Shamba lipo umbali wa meters 300 kutoka barabara kuu ya kuelekea/kutokea Singida/Mwanza.
Shamba lipo eneo linaloitwa Nala, pana umbali wa kilometres 16 kutoka Dodoma mjini.
Shamba linauzwa kwa shilingi 6,500,000/=
Kwa mawasiliano WhatsApp / Call 0758383624, ili nikukutanishe na mwenye eneo/shamba.
 
C

Cornellius

New Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
3
Likes
3
Points
5
C

Cornellius

New Member
Joined Nov 20, 2018
3 3 5
Habari wakuu..!!
Hii ni habari njema kwa wale wote wageni na wenyeji wenye uhitaji wa viwanja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Kinacho fanyika ni, mimi ninakutafutia kiwanja ama shamba ndani ya mkoa wa Dodoma. Kisha nitakukutanisha na mmiliki wa eneo husika na mtafanya mazungumzo ninyi wawili kuhusiana na bei.
Baada ya makubaliano yenu, mimi malipo yangu itakua ni asilimia kumi (10%) ya malipo mtakayo kubaliana.
Kwa wenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0758383624 sim ama whatsap.
Mi nahitaji uwanja wa kujenga dodoma mjini...makulu, kisasa, nkuhungu, area c, d au maeneo kama hayo. Nijulishe.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Mi nahitaji uwanja wa kujenga dodoma mjini...makulu, kisasa, nkuhungu, area c, d au maeneo kama hayo. Nijulishe.
Mkuu, naomba kesho nifanyie kazi hitaji lako na kisha nitakupea mrejesho tafadhali.
Asante
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Mi nahitaji uwanja wa kujenga dodoma mjini...makulu, kisasa, nkuhungu, area c, d au maeneo kama hayo. Nijulishe.
Mkuu, kiwanja kimepatika Nkuhungu kwa milioni nane (8,000,000) ni baada ya kupita stendi ya mnadani na pia ni kama mita mia tatu (300) Kutoka barabara ya kwenda/kutoka Singida.
Eneo hilo maji na umeme vipo karibu sana, na niumbali kama kilomita tatu kutoka mjini.
Karibu tuwasiliane kwa namba 0758383624, kisha nitakupeleka kwa mwenye eneo ili mkutane kwa mazungumzo.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Kiwanja kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000).
Kiwanja kipo maeneo ya Nkuhungu Dodoma mjini, pia kipo karibu na huduma za maji pamoja na umeme.
Kiwanja kimepimwa na kina hati, na pia kimejengwa msingi wa nyumba ya makazi.
Kwa mwenye uhitaji karibu nikukutanishe na mmiliki wa kiwanja ili mfanye mazungumzo.
Karibu tuwasiliane kwa sim namba/whatsap 0758383624.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Wakuu, mashamba bado yanapatikana Dodoma mjini maeneno ya Nala barabara ya kwenda/kutoka Singida, Mtumba na Ihumwa barabara ya kutoka/kwenda Dar, pamoja na Zuzu njia ya kuelekea kwa Mizengo Pinda.
Kwa mwenye uhitaji, tuwasiliane kwa namba sim/whatsap namba 0758383624. Nami nitakukutanisha na mmiliki wa eneo husika.
Karibuni sana.....
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Viwanja na mashamba bado vinapatikana Dodoma, karibuni sana wakuu
 
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
436
Likes
533
Points
180
the_forum

the_forum

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
436 533 180
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Shark's Style

Shark's Style

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
233
Likes
49
Points
45
Shark's Style

Shark's Style

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
233 49 45
Nahitaji shamba kwa ajili ya kilimo cha Zabibu ukubwa ekari 2.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Nahitaji shamba kwa ajili ya kilimo cha Zabibu ukubwa ekari 2.
Kwa kilimo cha zabibu, ni vyema ukapata shamba eneo linaloitwa Zuzu, ni kilometres 8-9 kutoka Dodoma mjini. Ni njia ya kuelekea kwa Mizengo Pinda.
Ama upate maeneo ya kupita Veyula/Makutopola, kama umbali wa 14-20 kilometres kutoka Dodoma mjini barabara ya kutoka/kuelekea Arusha.
Pia kuna sehem niliwahi kuona kilimo cha zabibu kwa wingi sana huko Dar road baada ya kutoka Chamwino ambapo ni umbali wa karibu 32 kilometres kutoka Dodoma mjini.
Mkuu, karibu tuwasiliane call/whatsap 0758383624
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,179
Likes
26,073
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,179 26,073 280
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari moja (75×75 square meters).
Shamba lipo maeneno ya Zuzu, umbali wa kilometres 9 kutoka Dodoma mjini.
Bei ya shamba hilo ni shilingi milioni moja na laki nane (1,800,000).
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa shamba na mfanye mazungumzo.
Asante na karibuni Dodoma
 

Forum statistics

Threads 1,250,499
Members 481,371
Posts 29,735,750