Kwa wenye uhitaji wa viwanja na mashamba Dodoma

Habari wakuu..!!
Hii ni habari njema kwa wale wote wageni na wenyeji wenye uhitaji wa viwanja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Kinacho fanyika ni, mimi ninakutafutia kiwanja ama shamba ndani ya mkoa wa Dodoma. Kisha nitakukutanisha na mmiliki wa eneo husika na mtafanya mazungumzo ninyi wawili kuhusiana na bei.
Baada ya makubaliano yenu, mimi malipo yangu itakua ni asilimia kumi (10%) ya malipo mtakayo kubaliana.
Kwa wenye uhitaji naomba tuwasiliane kwa 0758383624 sim ama whatsap.
Mkuu nina kiwanja nauza hakijapimwa, ukubwa miguu 25 kwa 20, kipo maeneo ya Stend mpya (Singida Road), nitafutie mteja
 
Mkuu, nakumbuka ilivyokua Abudja na Lagos.
Leo hii tunasimuliwa kwamba wengi walijutia kukamata fursa mapema.
kaka yangu alifungua kampuni,,sasa ili kupata urahisi wa tenda za serikali ilibidi akaweke ofc dom,,,,
Ofc ipo dom kazi anafinyia huko kanda ya ziwa....

Haki ya mungu minazichanga nipate eneo la bizne idodomya,,,,inshallah.
 
Kila la kheri mkuu
 
Kiwanja/ (hakija pimwa) kina ukubwa wa 3900 meter za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Nala umbali wa kilometres 10 kutoka Dodoma mjini, barabara ya kuelekea Singida. Kiwanja kipo umbali wa meters 150 kutoka barabara ya kuelekea chuo cha DECCA.
Screenshot_2019-02-16-13-27-08.jpg

Na pia kiwanja kipo karibu na administration block na umbali wa mita 300 karibu na chuo cha DECCA.
20190216_135350.jpg

Na pia umeme upo umbali wa mita 150 kutoka kwenye kiwanja kama inavyo onekana kwenye picha.
20190216_135457.jpg

Kiwanja kinauzwa kwa shilingi milioni tatu na nusu (3,500,000).
Kwa mwenye kuhitaji, karibu nikukutanishe na mmiliki/muuzaji wa kiwanja.
Wasiliana nami kwa simu/whatsap 0758383624
 
Mi nahitaji uwanja wa kujenga dodoma mjini...makulu, kisasa, nkuhungu, area c, d au maeneo kama hayo. Nijulishe.
Mkuu, kimepatikana kiwanja maeneo ya Nkuhungu karibu na stendi ya magari ya kwenda Manyoni/Itigi.
Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 1500, na hakija pimwa.
Kiwanja kinauzwa kwa bei ya shilingi milioni moja na laki tano (1,500,000).
Karibu tuwasiliane kwa 0758383624 ili niku kutanishe na mmiliki wa kiwanja hicho.
 
Kinauzwa kiwanja chenye ukubwa wa mita 30×35.
Kiwanja kipo maeneo ya Ilazo, barabara ya kwenda/kutoka Dar. Na kipo umbali wa kilomita tatu kutokea Dodoma mjini.
Kiwanja kimepimwa na kina hati.
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni ishirini na tano (25,000,000).
Umeme na maji vyote vipi karibu na huduma zote za jamii zinapatikana karibu.
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa kiwanja kwaajili ya mazungumzo.

Asante na karibuni Dodoma
 
Kinauzwa kiwanja chenye ukubwa wa mita 30×35.
Kiwanja kipo maeneo ya Mbwanga/Stendi mpya ya mnadani, barabara ya kwenda/kutoka Singida. Na kipo umbali wa kilomita tatu na nusu kutoka Dodoma mjini.
Kiwanja kimepimwa na kina hati.
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni kumi. (10,000,000).
Umeme na maji vyote vipi karibu na huduma zote za jamii zinapatikana karibu.
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa kiwanja kwaajili ya mazungumzo.

Asante na karibuni Dodoma
 
Kiwanja chenye ukubwa wa 30×40 meters kinauzwa, kipo Dodoma mjini maeneo ya Mlimwa C/Mji Mpya.
Kiwanja kipo karibu na kwa Waziri Mkuu na kimepimwa tayari.
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni tisa (9,000,000) na kwakua muuzaji wa kiwanja ana shida ya pesa, hivyo punguzo litakuwepo.
Kwa mwenye uhitaji, karibu nikukutanishe na mmiliki wa kiwanja.
Karubu tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624.
 
Kiwanja chenye ukubwa wa 25×40 meters kinauzwa, kipo Dodoma mjini maeneo ya Mlimwa C/Mji Mpya.
Kiwanja kipo karibu na kwa Waziri Mkuu na kimepimwa tayari.
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni saba (7,000,000)
Kwa mwenye uhitaji, karibu nikukutanishe na mmiliki wa kiwanja.
Karibu tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624.
 
Kiwanja kilichopimwa square meter 500sq. dodoma kwa Bei ya 1.5 milioni maeneo ya image karibu na mkonze, nkuhungu mnadani au nkuhungu karibu na tanesco mpya, Martin Luther mbele karibu na nane nane au swaswa ya juu near na area D... Naomba nipate Kama kipo,.
Kwa Bei hiyo mkuu sijui Kama utapata
 
Kinauzwa kiwanja chenye ukubwa wa hekari moja (75×75 matters), na kimepimwa tayari lakini urasimishaji (hati)bado.
Kiwanja kipo maeneno ya Nala, barabara ya kuelekea/kutoka Singida, na umbali wa kilometres 7 kutoka Dodoma mjini.
Kiwanja kipo umbali wa mita 100 kutoka barabara ya kwenda kwenye chuo cha afya DECA.
Kiwanja kinafaa kwa kufanya makazi, na umeme upo karibu na kiwanja kwa umbali wa 50 meters.
Bei ya kiwanja hicho ni shilingi milioni mbili na laki nane (2,800,000).
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap namba 0758383624 ili nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa kiwanja na mfanye mazungumzo.
Asante na karibuni Dodoma.
20190224_112308.jpg
20190224_112501.jpg
 
Linauzwa shamba lenye ukubwa wa hekari mbili (150×150 meters). Shamba lipo umbali wa meters 300 kutoka barabara kuu ya kuelekea/kutokea Singida/Mwanza.
Shamba lipo eneo linaloitwa Nala, pana umbali wa kilometres 16 kutoka Dodoma mjini.
Shamba linauzwa kwa shilingi 6,500,000/=
Kwa mawasiliano WhatsApp / Call 0758383624, ili nikukutanishe na mwenye eneo/shamba.
Ina maana hili eneo hili ( a mere 16 kms from city centre) halipo kwenye master plan ya jiji la Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana hili eneo hili ( a mere 16 kms from city centre) halipo kwenye master plan ya jiji la Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu, eneo hilo bado halija ingia kwenye mpango wa ramani za ndani ya jiji la Dodoma. Ingawa tayari watu wa Land Sarvey walisha pita na wakapima kama maeneo kwaajili ya makazi, na kinacho subiriwa ni urasimishaji na kupatiwa hati
 
Yaani kuna bei zingine unataja ndogo sana kuliko uhalisia, on a post #2, #3,#31,#34 na #76 halafu linganisha na maelezo yako ya post #25, sijui ndio mambo ya Invitation toTreaty?
 
Yaani kuna bei zingine unataja ndogo sana kuliko uhalisia, on a post #2, #3,#31,#34 na #76 halafu linganisha na maelezo yako ya post #25, sijui ndio mambo ya Invitation toTreaty?
Mkuu, ukiona nimetaja bei ya kiwanja ujue nimesha kiona na kabla ya kuweka tangazo humu.
Na hapa sifanyi bei ili nikuvutie, bali ninaweka bei ya kuanzia kama ninavyo ambiwa na muuzaji/mmiliki, na kisha ukihitaji ninakukutanisha na mmiliki kwaajili ya ninyi (mnunuaji na muuzaji) kufanya mazungumzo.
Mkuu... karibu niku hudumie, na karibu Dodoma
 
Nashukuru,
Binafsi nina shamba hapo Mtumba ambalo lipo kwenye mpango wa kupangwa upya kwa mipango ya matumizi ya ardhi ya Jiji ambayo hairuhusu mashamba.
Viwanja vitakapopatikana humo, nitakutafuta tuviweke sokoni.
Ila, nisaidie mawazo, maana biashara tunashauriwa tuanzie sokoni, sasa je, ni viwanja vya ukubwa gani vinahitajika sana sokoni?
 
Kama una maeneo pale Mtumba, nakushauri tu uanze kuliweka sokoni na ukiambatanisha na ukubwa wa kiwanja ambacho umeamua kukiuza.
Pia nina taarifa kwamba tarehe 11 March watu wa Land Sarvey wanakwenda kuanza upimaji na uhakiki wa viwanja huko Mtumba, kwaajili ya kuandaa mpango wa makazi na urasimishaji/hati.
Hivyo nakushauri kama unania ya kuuza badi uanze kuviweka sokoni mapema, maana hauwezi jua mteja atapatikana lini ama baada ya muda gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom