Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,302
- 111,454
- Thread starter
- #41
Mtumba ipi yenye unaisemea mkuu..!!??Huko mtumba mbona kote kuna mipango ya serikali..hayo maeneo yana usalama gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumba ipi yenye unaisemea mkuu..!!??Huko mtumba mbona kote kuna mipango ya serikali..hayo maeneo yana usalama gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Haya maeneo huwezi ingia chaka kweli kwa kuwa haya maeneo si yakipimwa lazima ikule kwako!Kiwanja/eneo (hakija pimwa) lenye ukubwa wa 4000 mita za mraba. Eneo linalouzwa, lipo Mtumba umbali wa kilometres 16 kutoka Dodoma mjini. Shamba lipo umbali wa meters 100 kutoka barabara kuu ya kutokea/kwenda Dar. Eneo linauzwa kwa shilingi milioni nne (4,000,000).
Karibu nikuunganishe na mmiliki/muuzaji wa eneo husika.
Wasiliana nami kwa simu/whatsap 0758383624
Mkuu, binafsi nina utaratibu wa kuhakiki kwa kumpeleka land surveyor ili nijiridhishe kama eneo sio la matumizi ya serikali/jamii.Mkuu Haya maeneo huwezi ingia chaka kweli kwa kuwa haya maeneo si yakipimwa lazima ikule kwako!
sioni urahisi wowote kiwanja cha 600sqm Kisasa ni Tsh. 17milioni fixed price, wakati kigamboni dar kiwanja mpaka 10milioni kipo...Kwanini bei ya viwanja Dodoma ni rahisi sana na ditance toka jijini ni karibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni kwasababu ndio kwanza mji umeanza kukuwa, na watu wengi sasa tuna nunua maeneo kama mashamba ili kuepuka makosa yenye tumewahi kuyafanya huko siku za nyuma.Kwanini bei ya viwanja Dodoma ni rahisi sana na ditance toka jijini ni karibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chungulia viwanja vilivo pimwa Tena vya makazi afu angalia na metrics zake pamoja na bei, sijui ni kwa sababu ya hizi ofisi za real estate agent au ni bei zinakadiriwa tu. Ukakasi upo bado Kwenye mauziano ya ardhiDahhhhh.....[emoji45] [emoji45]
Mkuu, hiyo ni bei ya maeneo yapi ndani ya jiji la Dodoma...!!??
Mkuu.....Chungulia viwanja vilivo pimwa Tena vya makazi afu angalia na metrics zake pamoja na bei, sijui ni kwa sababu ya hizi ofisi za real estate agent au ni bei zinakadiriwa tu. Ukakasi upo bado Kwenye mauziano ya ardhi
Kweli nduguMkuu.....
Kwa kiwanja chenye ukubwa wa 600 square metres ndani ya jiji la Dodoma kwa bei ya 17milioni....!!??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sio kweli mkuu, hakuna bei kama hiyo bado aiseeeeee......
Ndio maana nika argue hapo Tena ukikuta ni 1000sqm ni hatariKweli ndugu
Check bei za real estate agency
Kisasa 570sqm= 25M
600sqm= 27M.
Mlimwa ndo hizo million plus kwa 600sqm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wana exaggerate sanaNdio maana nika argue hapo Tena ukikuta ni 1000sqm ni hatari
Alafu hapo pia hapaja kaa sawa mtu anakutajia bei kubwa.Tatizo wana exaggerate sana
Eti nyumba ya kupanga 1M au 2M
Nyumba haina u uniqueness yoyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa mkuu....Kweli ndugu
Check bei za real estate agency
Kisasa 570sqm= 25M
600sqm= 27M.
Mlimwa ndo hizo million plus kwa 600sqm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nilicho jifunza hapa Dodoma ni kwamba...... usipo kuwa makini lazima utapigwa tu, tena for the name called jiji.Tatizo wana exaggerate sana
Eti nyumba ya kupanga 1M au 2M
Nyumba haina u uniqueness yoyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ukiargue pia sio mbaya ili ikusaidie kupata ABC's ya machache usio na ufahamu nayo.Ndio maana nika argue hapo Tena ukikuta ni 1000sqm ni hatari