Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

lol....Safari umenikumbusha jamaa mmoja akienda baa anaomba na glasi nyingine kwa ajili ya kuweka vizibo ili wahudumu wasije wakampiga kwenye bili

Nami niko hivohivo ila jana walinipiga......walitia kizibo cha SAVANA kwenye hiyo glass bila miye kuona....tatizo tulikuwa maneni tu sasa sijui hiyo SAVANNAH kanywa nani
 
Yeah - Hii Pub ipo next to na Africa House - Hii Kaunta ipo ghorofa ya tatu ya hiyo Pub!

Tot moja ya Gin pale ni buku 5!
Obuntu hapo lazima unywe kwa adabu zote
 
Nami niko hivohivo ila jana walinipiga......walitia kizibo cha SAVANA kwenye hiyo glass bila miye kuona....tatizo tulikuwa maneni tu sasa sijui hiyo SAVANNAH kanywa nani
Hahaha!! Au ulipiga cocktail ya Safari na Savannah
 
Hahaha!! Au ulipiga cocktail ya Safari na Savannah

Nakachukia sana haka kakinywaji..........

image26-sdpc-bottle2.jpg
 
.....lol....the finest bana, pamoja na ku blurr sura yako, namuona nanihii hapo kwenye cctv...lol!
Hahahaha!!! Mbu haya banaa...lol...you want some scotch
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...konyagi bana...ila naona out of stock hapo...
Khaaa...aisee mkuu you have sharp eyes lol...pamoja na kunotice vizuri nilikuwa sijagundua kama Spirit of The Nation haipo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom