Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,605
Reaction score
6,097
Bar.jpg

Tii Kiu Yako
 
mambo gani haya ya kutamanishana mchana wakati wa kazi bana
Hii siredi iweke saa kumi na mbili sio saa nane bana
 
Du nilivyoiona tu hyo kitu nimepiga kama funda mbili hivi za mate
 
Imefungwa
Wafanyakazi walikuwa wakifikia saa saba time ya lunch wakirudi wote wanatetemeka mikono hata kutype wanashindwa
Wengine ndo walikuwa wanasinzia mbaya
Walikuwa wanaenda kunywa Banana hao
 
Back
Top Bottom