Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

Naona kuna mtu alinitangulia hapa.... lol

Bar.jpg
 
Dah, TF wan'toa roho kijeba hapa!! halafu niko arosto kinyama hapa. Wapi unaishi nije??
 
Na hii wiki end ya mwisho wa mwezi,kazi ipo!kila la heri wajamen!
 
hapo nakumbuka ile story ya ugali na picha ya samaki
 
Back
Top Bottom