Kwa Wenye Kiu.....Tii Kiu Yako

hivi kwani kunywa pombe ni dhambi?
Kama hutukani mtu, hupigani, mkeo kala, mtoto kala, nyumba yako ni safi , choo na bafu visafi. na wala hukopi pombe unayokunywa.
Hapo kunywa pombe ni dhambi kwani?
Lakini DINI yangu nashangaa inakaza pombe.
 
Valid pombe sio dhambi banaaa
 
By saying that he meant the other way round......

Sio kawaida yake... ndo maana i was torn btn putting a "LIKE" Or not....lol...
Sometimes even I don't understand him pamoja na devotion yote hii...lol..
Thats why nikikwamba kumuelewa i consult you.... (mana wote vichwa sometime vibovu... sorry lol)
 
Hahahaha.....lol mimi peke yangu ndio mzima btwi got a bottle of Blue Label i was told to deliver it to you sasa nina wasiwasi chupa itafika iko nusu
 
Usiniletee mchezo hakikisha imefika ipasavo...lol... (hata kama huwa to naweka for shoo...)
 
Okay kama ni kwa ajili ya shoo basi ngoja nimalizie nikuletee chupa tupu kabisa kwa ajili ya display..lol
 
RAUNDI MOJA ISHAKWENDA HAPA........HEBU NISAIIDENI BILI TAFADHALI

images
 
Back
Top Bottom