Kwa Wawindaji: Ni Kosa kubwa Kumuacha Hai Mnyama Uliyemjeruhi

Huwezi mzuia binadamu kuwaza anayopenda.
Nimezungmzia Wanyama na uwindaji kwa Uhalisia wake.


Unamaanisha TL ameshaanza kuleta madhara au unamaana gani
[/QUOTE]
 
Alafu mamtu kama haya baada ya muda utasikia yanauliza, hivi kwanini baadhi ya waTanzania wanafurahia nchi ikikosa msaada? Au hivi kwanini baadhi ya watu wanaungana na mabeberu kuilaumu serekali?
 
Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.

(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.

(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.

(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.


(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.

Baadhi ya Wanyama hatari wanapojeruhiwa na mwindaji Ni Mbogo.
Uandishi wa Fasihi ni lazima imfanye msomaji akune kichwa ili kupata tafsiri sahihi na kamili. This one is too obvious to be treated.
 
Back
Top Bottom