Kwa Wawindaji: Ni Kosa kubwa Kumuacha Hai Mnyama Uliyemjeruhi

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.

(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.

(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.

(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.

(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.

Baadhi ya Wanyama hatari wanapojeruhiwa na mwindaji Ni Mbogo.
 
Attachments

  • images (53).jpeg
    images (53).jpeg
    7.2 KB · Views: 2
  • images (52).jpeg
    images (52).jpeg
    7.6 KB · Views: 2
Kama nakuelewa vile
Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.

(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.

(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.

(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.

(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiona mwenye akili kubwa na umefumba fumbo eti eeh! Maandishi yako yanaakisi uhusika wako wa moja kwa moja wa mauaji ya wote waliouawa kwa kosa Cha kutofautiana na mkuu wenu kimawazo na kimtazamo!
Hapa unamlenga Lissu. Nikuulize wale wengine waliokufa Ina maana hukukosea shabaha?
Maandiko Kama haya yalitumika Kama ushahidi mahakamani huko uholanzi na huenda ukakumbwa kwa ujuaji wako wa kipuuzi wa kutaka sifa zisizokulisha!
Jifunzeni kupima athari za maandiko yenu yanayochochea vurugu kwa jamii!
 
Haya maneno yako utakuja kujutia mwenyewe na utakosa Amani ya moyo hapa duniani hata kama Una chuki kiasi gani na TL ni Bora ukaficha hisia zako kuliko kuzidi kuichafua serikali Yao maana mpaka hapa inaonesha jinsi gani huyo mlivyohusika na mauaji...
Utakuja kulipia Kwa hili ulilofanya Leo
 
Sikuwahi kudhani kama kuna watanzania wanaroho mbaya kiasi hiki. Hivi hii nchi hatuwezi kugawa na kila chief wa zamani akapewa eneo lake ajuane mwenyewe na wananchi wake? Mbona hii serikali ya awamu ya 5 inatufanya tuwaze mbali sana?
 
Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.

(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.

(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.

(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.

(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.
Yamkini muwindaji alikuwa na uhakika kwamba windo lake limekata roho. Maana risasi kuacha windo hai ni miujiza ya Mola.
 
Wengi hapa hawajamuelewa mleta uzi. Ametumia lugha ya kifasihi zaidi
Na si kwamba amefurahia kujeruhiwa kwa lissu hapana. Anachomaanisha ni kwamba hakikisha target yako inalipata windo lako. Ukikosea tuu windo lako likapata nafasi ya kuhit back basi utafurahia show. Maana madhara yake ni zaidi ya mara kumi elfu. Anakua na hasira kwamba ulitaka kunimaliza? Ulidhamiria kunijeruhi na kudhulumu uhai wangu, zile hasira zote anakujia sasa kulipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiona mwenye akili kubwa na umefumba fumbo eti eeh! Maandishi yako yanaakisi uhusika wako wa moja kwa moja wa mauaji ya wote waliouawa kwa kosa Cha kutofautiana na mkuu wenu kimawazo na kimtazamo!
Hapa unamlenga Lissu. Nikuulize wale wengine waliokufa Ina maana hukukosea shabaha?
Maandiko Kama haya yalitumika Kama ushahidi mahakamani huko uholanzi na huenda ukakumbwa kwa ujuaji wako wa kipuuzi wa kutaka sifa zisizokulisha!
Jifunzeni kupima athari za maandiko yenu yanayochochea vurugu kwa jamii!
Uzuri anatumia real names, haitamsumbua sana Fatou Bensouda

Unforgetable
 
Mwenye guarantee ya pumzi tunayovuta ni Mungu pekee. Mtoa mada nakusihi uache kiburi cha uzima.
 
Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.

(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.

(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.

(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.

(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.

Baadhi ya Wanyama hatari wanapojeruhiwa na mwindaji Ni Mbogo.
Hapa kwa mwenye akili hii si fasihi maana ni dhahiri mno. Ina maana bado unataka afe!! Mungu si Boniface Kichonge. Jamaa ataishi!
 
Umekaa wapi wakati unaandika haya mbona maandishi yako yana harufu ya umwagaji Damu usio na hatia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom